Marehemu Bi Shakila Saidi Alipoenda kumuaga Raisi Jakaya Mrisho Kikwete."the great president of our Time"
Ni kama anamuambia Rais Jaakaya Mrisho Kikwete "Kwaheri mwanangu"
Shakira,Issa Matona,Bi Kidude,Dr. Remmy Ongala,Marijani Rajabu, Mbaraka Mwinshehe Mwaruka,n.k.
Sauti zao,jumbe zao,busara zao na maono yao bado yanaishi na yataendelea kuishi.
Taarabu ya zamani ilikua nzuri sana na has a ujumbe uliopo,lugha inayotumika pamoja na beat ya vyombo vya asili.ukisikiliza inakufanya utafakari kwa utulivu sana moyoni sio hizi za sasa sijui mwanamke mkorofi mchukulie mumewe sijui ndo inafunza nini.