Ndoa, mahusiano ni utapel mkubwa sana.kiukweli hamna ndoa hamna mapenzi ni kupotezeana mda.
Singleness ndio maisha halisi yenye nguvu.ukwel huwez pendwa unapendwa na ulichonacho.
Love doesn`t exist and it will never exist.but singleness is greatness and it will always exist. kataa ndoa,mahusiano n utapel mkubwa.