Singleness is Greatness?

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,913
Reaction score
3,736
Ndoa, mahusiano ni utapel mkubwa sana.kiukweli hamna ndoa hamna mapenzi ni kupotezeana mda.
Singleness ndio maisha halisi yenye nguvu.ukwel huwez pendwa unapendwa na ulichonacho.

Love doesn`t exist and it will never exist.but singleness is greatness and it will always exist. kataa ndoa,mahusiano n utapel mkubwa.
 
nakazia jipende mwenyewe na mungu wako na wazazi wako
 
its true...kataaa NDOA not mahusiano

Pendwa
Penda

Zaa/Ongezekeni ila NDOA usiji mix utaja piga ukunga asitokee wakukupa pole.
 
ndio kabla nilale na tenga masaa mawili ya kunyetuka vibaya lazima nipige tripu kumi mara 3 kwa siku jumla 30
Uumbaji wa Mwenyezi Mungu uko na maajabu yake sana. Utakaa weeeeeeeee lakini itafika wakati utaugulia maumivu ya kukosa kuwa na mwenza (patina) wako.

Sema kuchapana matukio kunaumiza sana nafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…