Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
salaale.. basi fany fany mambo ndugu yangu nibate bahati ya maisha.. wengine hatujawahi kukutana nazo toka tuzaliwe ,, huwa tunazisikia tu kwenye magazeti.Hajawahi guswa.....nyumban tunasema kitu mang'anyuu
mini coper cha ukweli sana ujue,.. usikione vileAndaa vogue au kabmw kax6...mambo ya kusafirisha watoto kwenye vimin cooper no...bora abakie kwangu
Mie madomo zege siwataki, hebu nitongoze mwenyewe bwana, hujui ilivyoraha kutongozwa!!mkuu nitongozee huyu mtoto basi espy .. namkubali ila mimi domo zege.
au na wewe ulikuwa na plan hizo.. ila wewe una uwezo wa kukamata yoyote humu
Kwani huna matumizi nami tena?espy eti toto nikugawe kwa Saint Ivuga.??
Nikutongoze hapa hapa mubashara?Mie madomo zege siwataki, hebu nitongoze mwenyewe bwana, hujui ilivyoraha kutongozwa!!
Kwani huna matumizi nami tena?
Nawe je? MmmmmmHili ni janga la wengi
Sijui kwa kweliNawe je? Mmmmmm
Au ndo njiapandaSijui kwa kweli
Moyo wangu jiwe hauumiagi, mie nataka nikuonje tu sio uweke makazi bwana, na joto hili tubanane tena!!Nitakosaje na wakati tumeshakubaliana...?
Mimi sio mhuni wa kula tunda halafu nikimbie. Umeshanambia nisikuumize moyo kama wengine. Nimekuskia
Naamini hautaishia kunionja tu...Moyo wangu jiwe hauumiagi, mie nataka nikuonje tu sio uweke makazi bwana, na joto hili tubanane tena!!
Toto jizi hili!!Naamini hautaishia kunionja tu...
Farao alikuwa na moyo mgumu kuliko binadamu yeyote wewe nawe unamoyo mgumu kuliko wanawake wote. Nitakulainisha bila kutumia vilaishi kwa penzi mubashara