SINGLE (S) special's thread

Yaan ujue nikiona kaqoute kako nahisi unyevu unyevu nje na ndani eeeh espy
yani we bingwa kila thread ninayokukuta unatongoza wanawake humu JF.. wewe jamaa ni noma. sema tu mambo ya JF yanaishia hap hap isingekuwa hivyo ungeshakufa mbabe wetu
 
Unyevu nyevu wa midomo?
Yes kabebigelo....kwa hiyo umeamua kunikolezea lips wino! !eeeh tumefika mbali nahisi. .ninon'goneze kajibu bathii
 
yani we bingwa kila thread ninayokukuta unatongoza wanawake humu JF.. wewe jamaa ni noma. sema tu mambo ya JF yanaishia hap hap isingekuwa hivyo ungeshakufa mbabe wetu
mkuu basi ngoja niache
 
mkuu basi ngoja niache
ha ha ... mkuu usiache bwana.. hujui dada zetu ndio wanapenda mambo hayo.. ungekuwa unatumia iphone 6+ inakuonyesha watu waliosoma post zako.. yani comment yako moja inasomwa na wadada wa JF zaidi ya 60+, ukiacha utasababisha waache kuja JF
 
espy mi mtani saana bhana msije mkanihukumu bure...I like joking ndiyo maana sina skendo za kufuatana fuatana pm. Ila nikikupenda direct nakuja nakuambia
mkuu nitongozee huyu mtoto basi espy .. namkubali ila mimi domo zege.
au na wewe ulikuwa na plan hizo.. ila wewe una uwezo wa kukamata yoyote humu
 
ha ha ... mkuu usiache bwana.. hujui dada zetu ndio wanapenda mambo hayo.. ungekuwa unatumia iphone 6+ inakuonyesha watu waliosoma post zako.. yani comment yako moja inasomwa na wadada wa JF zaidi ya 60+, ukiacha utasababisha waache kuja JF
IPhone niligundua kuna option hawana nikawahama...now natumia Nokia diamond jewellery inasoma mabikra wote wa JF.
 
IPhone niligundua kuna option hawana nikawahama...now natumia Nokia diamond jewellery inasoma mabikra wote wa JF.
duuuuh...dadeki.. naitaka na mimi hiyo..
kume ndio maana unakomaa sana leo na huyu mtoto espy .. daaaah..
 
aisee ndugu yangu ukishamuweka sana utani quote mimi nitakuja kumbeba mtoto mzuri huyo.
Andaa vogue au kabmw kax6...mambo ya kusafirisha watoto kwenye vimin cooper no...bora abakie kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…