Wacha we!! Hivi vina ni vyangu au vya mwingine!!!Hivi wewe utaniamini lini...au unataka nikupe kiti moyoni unikae uzunguke unijae kesho mpaka siku za baadae?
hahahahahha umeniita mwenyewe shemejilo,Litazidi utamu shem...halafu tabia gani ya kumsikiliza shemeji akiwa anajitafutia tafutia?
hahahahahha shem shem, kumbe wewe dogo unayependa vya wakubwaaaaaaaDogo ulinizaa... Mxieew
Yule wako ni mdogo wangu, nitake radhi!!uwiii, mseme usikute ni yule wangu
Umeona eeh!! Hana adabu huyu mtoto!hahahahahha shem shem, kumbe wewe dogo unayependa vya wakubwaaaaaaa