SINGLE (S) special's thread

ndio hiyo roho inapenda babaakeee sasa mimi nifanyeje?

inafanana na masiwa kabisa ati
Umenikumbusha mon'goo akienda mghawani anasema ero ebu lete ile yenye doadoa kama chui! !
 
mimi huwa nasema leta ile inafanana na masiwa, weka kombe 2 kwa moja
 
Sema dada zetu nawajua nyie ni nooma. Kuna rafiki zangu wanaenda simainofu 13 bila kupepesa....
 
mimi sikamati hiyo kitu, ni ile ya masiwa tu na red wine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…