Kaone!!
Yaani kukuonyesha tu tayari ni radhi hiyo mkwe wangu.
Inabidi nianze maombi maalumu ya kuiombea akili yako hii ya siku mbili hizi.Kama niko excited vile kupewa radh na mkwe like daughter like mother
Inabidi nianze maombi maalumu ya kuiombea akili yako hii ya siku mbili hizi.
nani mimi au??Hahahaaa! Kwani mkuu nawe ni mmoja wao?
Hahhhah afazali kwenye mabano nimekuelewa zaidi...I enjoy being single(maneno ya mkosaji)
Kama nakuona vile.
Ndio unaelekea kwa wale jamaa nini?
Sasa unageukia nini nyuma wakati nakwambia wewe?nani mimi au??
Sasaje acha tu nijifariji, tafanyaje sasa.Hahhhah afazali kwenye mabano nimekuelewa zaidi...
Umewaonaee! Licha ya kuwa na mzee bado wameshindwa kubadilishana mawazo ya busara.Hahahaa huko hatar,jamaa hawafai wale
Kwani hujaona mwaliko nawe. Asubuhi hii ujue.Sasaje acha tu nijifariji, tafanyaje sasa.
kesho itakuwa shida
Umewaonaee! Licha ya kuwa na mzee bado wameshindwa kubadilishana mawazo ya busara.
Aah kumbe meme! unasemaaaa??Sasa unageukia nini nyuma wakati nakwambia wewe?
Nimealikwa wapi?Kwani hujaona mwaliko nawe. Asubuhi hii ujue.