Kuwa single sio option ni matokeo ya kukosa kile unachokitarajia au ulichokitarajia.......
Kwa hiyo kiasili hakuna mtu ambaye yupo single bali kuna watu walio kwenye foleni ya kusubiri yule ambaye ni mahususi kwa ajili yake........
Wakati mwingine inachukua muda na safari hiyo hukufanya upitie changamoto mbali mbali kama vile kuwapata walaghai.....lakini safari lazima iendelee kwani huwezi kusema kuwa sitapenda tena......kwani sio sisi bali ni Mungu ndiye anayejaza upendo mioyoni mwetu......ndio maana pendo linaweza kumea sehemu yoyote hata wakati mwingine humshangaza aliyependwa na hata aliyependa.......
THAT IS [emoji173]️