SINGLE (S) special's thread

Kwakweli inabidi, maana hali si hali.
Kabisaa, maana kuungana katika jambo dogo kama hili, tunaweza kuishia kuungana katika kutoa baraka kwenye muungano wa nchi za jirani.
 
Aah utasahaulika huko maana,wengine wapo wamesimama hadi ukumbukwe ni pale unapotaka kushuka.
Unaeksipiriensi mzee mwenzangu. Ila ningeng'ang'ania siti ya kati...itokee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…