SINGLE (S) special's thread

Kesho ukibaki nyumbani pasipo kupewa zawadi..kuambiwa maneno ya upendo wala kufanyiwa kitu chochote na mwanaume asiye ndugu yako na hali ikaendelea hivyo pasipo kupose basi hiyo itakuwa maana sahihi ya Usingle.
ok basi nitaleta mrejesho
 
Ni kama kwenye dala dala vile kila mtu na siti yake.kuna abiria,dereva na konda. Huyu jamaa achague kuwa konda(mshika hela)
Unaeksipiriensi mzee mwenzangu. Ila ningeng'ang'ania siti ya kati...itokee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…