Hebu muwapumzishe hao single mom basi!!
Kila baya ni lao, ina maana hamna jema linaloweza kufanywa na hawa watu au???!
Punguzeni unafiki basi, hamna mwanamke mwenye ndoto ya kuja kumlea mwanae bila baba. Huwa inatokea tu na hili laweza mkumba binadamu yeyote wa kike