Single mother anizunguka kama Pele.

Acha kulalamika Mkuu, kama tako analo nunua smatifoni kisha mtafute.
 
Alicholalamika huyo Bwana Ni nini mbona umeficha?nakushauri achana na mke wa mtu tafta mwanamke ambaye hana mtoto kama abdo hujaoa zaidi sana achana na mke wa mtu.
 
Alicholalamika huyo Bwana Ni nini mbona umeficha?nakushauri achana na mke wa mtu tafta mwanamke ambaye hana mtoto kama abdo hujaoa zaidi sana achana na mke wa mtu.
Nimemuacha mkuu. Jamaa anaweza hata akanitoa makende. Anaweza akaniendea kwa sangoma hata.
 
Watu wenye uwezo huwa hawaogopi vijimambo vidogo vidogo kama hivyo.

Tena wanaingia kichwa kichwa sasa kazana kuongeza kauwezo.
Inategemea, Sina uwezo kwamba ni tajiri. Nina kipato Cha kawaida kama Cha kwako na Cha mwingine.
 
Mwanamke mwenye mtoto kama mumewe bado yupo hai wakikutana kuliwa kawaida sana hasa mwanaume akihitaji anakula tu
 
Hapo hatujaona kauwezo kokote akae kwa kutulia.
Yaan sijui nisemeje kutojiamini unahisi unapendwa kisa vitu ulivyonavyo
Jana nimesoma uzi eti hataki mpenzo wake ajue kama ana nyumba amepangisha kwani akijua ndio itakuwa yake 😂😂😂😂 uchoyo uchoyo ambao hauna hata maana
 
Kuna dada mmoja wa ki islam...... SIJAELEWA SIMULIZI HII INAHUSIANAJE NA UISLAMU WAKE..?! ALIYEELEWA ASAIDIE
 
Sasa kinachokuuma ni nini wakati kuachana umekutaka mwenyewe.
Kama ni mchezo au sio mchezo maamuzi si ulishayatoa mjuba?? Namna gani wewe...
 
Ninyi ndio mnafanya watu wanaona mapenzi ni ujinga
 
DJ play kale kawimbo.kanakosemaa..
Kanunua simu kampa demu walipoachana kampokonyaa..kwaajili ya mleta mada
 
Ungemnunulia smartphone
 
Acha kujaza Server bure. Ww sema tu umeachwa ila una penda show yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…