Single mother anizunguka kama Pele.

Single mother anizunguka kama Pele.

mtu bati

Senior Member
Joined
Mar 29, 2021
Posts
117
Reaction score
129
Kuna dada mmoja wa ki Islam tumekuwa pamoja kwa mwezi mmoja. Yeye ni mama aliolewa akaachika sasa nikawa na mahusiano naye. Ila nilishamuona kuwa alikuwa na Mimi kwa kuwa alikuwa anahitaji msaada wa fedha maana aliona Nina kauwezo kidogo. Nimekaa naye vizuri tu. Ila akaja kuomba cmu smartphone anasema yake inastuck. Nikamuambia atulie kwanza now Sina kitu. Mwez ujao nitampa. Nilimvuta maksudi. Ila nilikuwa na mpango wa kumnunulia angeonyesha uvumilivu. Nikamtafutia simu ndogo ya Nokia atumie kwa muda ambao yake inasumbua. Sasa kumbe jamaa aliyezaa naye huwa anaenda kumuona. Jion moja jamaa akachukua Ile cmu yangu akasoma message nilizokuwa nachat na demu. Akanipigia. Nilipokea sikujua ni Nan. Akaongea na kulalamika nikakata simu. Demu akanicheki akaniambia huyo jamaa kaja kachukua Bila yeye kujua. Alikuwa kazin kwake. Baada ya tukio niliona huyu demu ni michezo hiii anacheza. Nikamuangalia nikampima nikaona huyu nimuache tu. Nilimtumia text ya kumuambia tuachane. Akalalamika na kuigiza lakin nilijua ni uongo. Tukaamua kuchuniana. Mpaka now nimechuna na yeye kachuna. Je huu ni mchezo kacheza? Kaamua kunizunguka?

Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
 
Una-sound kiboya sana mdau!kwanini lakini unakuwa na mahusiano na single mama ambaye bado aliyemzalisha yupo hai?

Huwa hawaachani hawa utalia lia kila siku.
 
Back
Top Bottom