Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,840
Watu wengi wanachukulia single momz kama hawana umuhimu tena na hawafai katika mahusiano. Siku hizi wanaume wengi ambao hawajakuwa na watoto utasikia wakisema "Mimi mwanamke wenye mtoto simtaki amechoka na amekongoroka kabisa huyo"

Kumbuka hapa kuna wanawake wengine hata ukikutana nae na asipokuambia ana mtoto huwezi jua, anajipenda na ni mrembo wa kuvutia na mwenye maendeleo.

Wanaume wengi sana wanaona hana thamani, na wengine kusema ni wameshindikana walikotoka yaani na jaamaa aliyezaa nae.Tukumbuke NOT EVERYMAN MEANT TO BE A DADY, kuna wengine ni waharibifu tu, pengine pia tofauti za maisha zinazotokea zinapelekea yote hayo kutokea, Watu hawaelewi...

Single moms haimaanishi hawatakiwi kuwa na mahusano mengine mapya labda na mwanaume ambaye hana mtoto, wengi hudhani ukijitumbukiza hapo basi utalea mtoto.

Jamani kuna watu wanauwezo wa kutake care ya watoto wao bila msaada, jiulize kabla yako nani alikuwa anamsaidia kama sie mwenyewe. Ni faraja na upendo tu anahitaji kutoka sehemu nyingne.

Hawa watu haimaanishi waolewe au wawe na mahusiano na wanaume ambao nao wanawatoto...eti sababu wasaidane kulea... Tena na zile familia zikisikia kijana anasema "nina mwanamke ila ana mtoto" moto unawaka, jamani jamani? Huu si ubaguzi lakini?

Mwenye mawazo hayo wewe ni katili na mbinafsi kabisa. Na ndo maana inafikia hatua wanaume mnafichwa mnakuja kutambua kwamba ana mtoto imepita hata miaka 10, halafu unalaumu oooh hakuniambia. Hakukuambia kwasababu anajua mtazamo wenu kwao...

Mimi naomba tu niwaambie ndugu Kaka zangu, wadogo zangu, Mwanamke aliyezaa ni sawa na wengine tu, tena bora yeye kazaaa anajua ana kizazi, kuliko hao wasiozaa na wanaokesha kila siku kutafuta watoto kwa waganga..

Mimi mwenyewe ni mfano mzuri, nimepata unyanyasaji sana na wanaume, pale nilipokuwa nawaambia nina mtoto, wengine walishia kimya kimya, wakidai eti tuna kawaida ya kupasha kiporo na mzazi mwenza HIYO NI UONGO NA FIKRA MBOVU ZA WATU
Na kamwe sikuweza kuficha kama sina mtoto kwasababu najua nini maana ya mtoto. Mtoto ni zaidi ya thamani ya vitu ulivyonavyo ndani...
Tena wanawake ambao mmekutana na haya wala msifiche ukweli, Mwanaume akikimbia ujue mungu kakuepushia jambo.

WANAUME HEBU TOENI NA MBADILIKE NA HIZO IMANI AMBAZO SIO...

Swali lolote linakaribishwa... Asanteni
 
Hivi kuna watu huwa hatulali humu ndani, tunaingia shift eee!!, Ahya ila umeongea kweli kuna single momz ukiwa kuta wana kitu mnato (lastic) yaani me napenda sana, ila hata hvyo single dad pia tuna kazi ukimuambia mpenzi wako mpya unamtoto tyr wengi huwa wanajiskia vibaya ndio maana hata na sisi hupenda kuficha.
 
Usingizi hakuna...cjui kesho natokaje ucngizi utatoka wapi?
 
ndiyo hatutaki,mnaendaga kwa wake zenu mlozaa nao ukiuliza eti si mzazi mwenzangu? Muoane wenyewewenyewe ili mudanganyane vzuri loh! Btw-nimeingia zamu!
 
Dah! usiku wa leo sjui vp,mim mwenyewe nimelala nimeshtuka ktkati ya usingi basi usingiz nao umepotea nikaona ngoja niangalie jf penine kuna jambo ndio hapa nakutana na stori ya huyo dada hapo juu
 
Ahahaha kwhyo zamu unabadilishana na nani??
 
Dah! usiku wa leo sjui vp,mim mwenyewe nimelala nimeshtuka ktkati ya usingi basi usingiz nao umepotea nikaona ngoja niangalie jf penine kuna jambo ndio hapa nakutana na stori ya huyo dada hapo juu

Jana nimelala saa 2:30 mpk saa 6 ucngizi neiye nkamuamsha shemeji yako nkapiga cargo nkajua nkimaliza ntakua nimechoka nlale ila ngoma imegoma amelala yeye tu!
 
Kulea mtoto ambae si wako ni zaidi ya fedha. Yataka moyo...! Kuna wanawake hawawezi kuolewa na mwanamme mwenye mtoto hata kama baba yao anajiweza na kwa wanaume ndo hivyo hivyo. Tena kwa wanaume ni zaidi, kukaa na mtoto wako akampenda na kumfanya kama wake na baba yake yuko hai ni wachache. Ndo maana wengi hukimbia single moms au wenye kuwakubali single moms basi na yeye ana mtoto anayetaka alelewe pia
 
Exactly....jealous pia inahusika kwa wanaume .....cjickii vizuri ukiniambia naenda ofcn kwa baba wa mtoto kuchukua ada ya mtoto coz nahisi kuna biashara haramu inaweza kufanyika na ni possible!!
 
Jana nimelala saa 2:30 mpk saa 6 ucngizi neiye nkamuamsha shemeji yako nkapiga cargo nkajua nkimaliza ntakua nimechoka nlale ila ngoma imegoma amelala yeye tu!

Ahahahaha muamshe tena upige mkuu, its all yours
 
Tatizo kubwa ni, kujifanya unafuatilia matumizi ya mtoto kwa uliyezaa nae!! Wanaume huwa hatulipendi hilo na ni chanzo cha kurudisha mahusiano yenu yaliyovunjika. Sasa ukute bahati mbaya uliyezaa nae amekuja kuwa na mafanikio zaidi yangu, huduma na caring ni moja ya sumaku ya kumnasa mwanamke yeyote. Inawezekana ni kweli alikutenda vibaya but akianza kujifanya anakujali na kukuhudumia wewe na mwanao kinachofuata ni kushindwa kuelewana na mumeo uliye nae sasa, kisingizio ni matumizi ya mtoto au ni mzazi mwenzangu.

Wanaume tunapolikumbuka hilo, tunaumia sana coz tunahisi ni moja ya vijidharau katika mahusiano
 
From Sunday to yesterday nimekimbiza sana mkuu hii round ilopita tu ilikua mbinde kama nagonga demu bikra huo utata wake!!nahisi nkimwamsha sasa hv tena kesho atarudi kakaa hostel maana yupo getto langu kimagumashi mama anajua yupo hostel!
 
Tatizo kubwa ni, kujifanya unafuatilia matumizi ya mtoto kwa uliyezaa nae!! Wanaume huwa hatulipendi hilo na ni chanzo cha kurudisha mahusiano yenu yaliyovunjika. Sasa ukute bahati mbaya uliyezaa nae amekuja kuwa na mafanikio zaidi yangu, huduma na caring ni moja ya sumaku ya kumnasa mwanamke yeyote. Inawezekana ni kweli alikutenda vibaya but akianza kujifanya anakujali na kukuhudumia wewe na mwanao kinachofuata ni kushindwa kuelewana na mumeo uliye nae sasa, kisingizio ni matumizi ya mtoto au ni mzazi mwenzangu.

Wanaume tunapolikumbuka hilo, tunaumia sana coz tunahisi ni moja ya vijidharau katika mahusiano

Ni kweli mkuu inasumbua sana kwa mwanaume sababu sisi ndo tunaefanya Hilo so tunalijua vizuri!!ni shida aisee hainiingii akilini kabisa mawasiliano ya mama na baba wa Mtoto wake while mi nimeshamuoa!!unfortunately hilo halizuiliki ni Lazima wawasiliane kujua maendeleo ya Mtoto!!
 
Mkuu pata picha ifuatayo... mkeo ana mtoto na mwanaume mwingine nanyi mna watoto wawili pamoja. Mnakaa nao wote. Mtoto wa kambo anasomeshwa shule na baba mtoto ya million 6 kwa mwaka, wewe mume ukijipiga sana unaweza kuwasomesha watoto hawa wawili government na vi tuition kidogo. Aisee noma sana kidume lazima uwe mpole tu ukisikia wife anaenda kuchukua matunzo ya mtoto! Ndo maana kwangu mimi naona its more than money, kuna jealously, kujisikia inferior mbele ya kidume mwenzio nk.
 
Daah! Jombaa, usingizi umekata na wewe??

Ni changamoto kubwa sana na kumrudisha mwanamke uliyezaa nae ni rahisi mno kuliko wanavyojitetea hapa
 
Ni rahisi sana haina tofauti sana na ile mke wako kuendelea kuwasiliana x lover wake??griiiiiiii mpk mwili unasisimka kwa hasira!!!!sipendi hiiiiyoooo!!
 
Mkuu pata picha ifuatayo... mkeo ana mtoto na mwanaume mwingine nanyi mna watoto wawili pamoja. Mnakaa nao wote. Mtoto wa kambo anasomeshwa shule na baba mtoto ya million 6 kwa mwaka, wewe mume ukijipiga sana unaweza kuwasomesha watoto hawa wawili government na vi tuition kidogo. Aisee noma sana kidume lazima uwe mpole tu ukisikia wife anaenda kuchukua matunzo ya mtoto! Ndo maana kwangu mimi naona its more than money, kuna jealously, kujisikia inferior mbele ya kidume mwenzio nk.

Daah!! Noma sana halafu utakuwa mnyonge sana!! Kuna uzi jamaa alikuwa anaomba ushauri humu, mkewe kawa close sana na mzazi mwenzie na kila akihoji jibu ni nafuata matumizi na kujadili malezi ya mtoto.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom