Mwenza kwa ajiri ya ndoa ama Mwenza hata ni mchepuko ?
Baba yao yuko wapi??
usimfanyie hivo.... watoto watammis sanaYupo
🤣 🤣 🤣 🤣Baba wa watoto yupo hai au amefariki?
28'
🤣🤣🤣🤣Watafute wale uliwaambia sio type yako kipindi bado ni binti uwaombe msamaha
Atakuwa ana mkeMh, sasa watoto wawili kwa baba mmoja , means mmekuwa na bond kubwa sana na huyo jamaa, komaa nae akuweke ndani aisee.



