Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,077
- 92,992
We bado mwanafunzi ipende elimu sana kuliko mapenzi.
Nipo
Tutaona Mengi
Sawa mkuu, watakuja
Best luck
Hivi humu kuna anaependa kudate na wewe? Yule wa m60 vipi hawezi kukupa kampani?
6' awe na pesa maana ndio ugonjwa wenu.
Unabip
Unabip eeeh""" kila la kherii
Mhenga anajiita katoto kazuri.
Ukizeeka utaacha.
Genye mbaya sana
Sasa stress zitatokaje bila ya kutafuna biology
Umalaya uko kwenye forms nyingi sana nowdays.
By the way huna uzuri wowote. Humu JF wanawake wazuri ni wa kuwatafta kwa bainokla.
Wewe ni mwanafunzi halafu unatafuta mboo??!
Angalia usije ukala supp, kila la kheri
Msiniulize nmejuaje.Upo kwenye siku zako?
Dah! Hatari sanaMsiniulize nmejuaje.
Huyu ni Mwanaume aumiaye ID ya kike.
huko PM mkienda, anataka sana kujua Kazi yako,,,,Mahali unapokaa, jina ,,namba n.k.
Baadae atakutafutia sababu ya kuokutana naye, huku tayar umeshampa Faili la Details zako.
Sijakuewa ujueSitafuti mwanaume wakuoa wakampani kama uko arusha nitakuwa ninastress sana kwa sababu ya mitihani if so natafuta kampani ila arusha ndio advantage kabisa.
Just company for a company.
Kama mimi nikatoto kazuri apate lakatoto kabaya no sex.
Just a company
1. Awe handsome
2.Ajue kumtoa mtu stress
3.Must be polite nice voice
4.someone who knows how to behave
5.Awe serious kunipa company couse sipendi kudate na wahumu napenda charting only mtaani hawajanichoka bado.
Muwe na usiku mwema
Pancho seriously??halafu ukute ndo wale sura za baba!... kula vya watu ule bure..Kuliwa usiliwe!...
kila la kheri...
Wewe ni mwongoo unamatani ua not serious???Naona wazee baba mmefunguka vya kutosha.
Nilishawasha namba 4 nimkute picnic tupatembili tatu mmeshanikatisha tamaaa.
Sijakuelewa natania sina 37 dah 30 ndio naikaribiaMiaka 37 nahisi uko memkwa
hahaha me navunja tuu Mifupa!...angali meno yapo... ila unavyojitapa mwenyewe!...Pancho seriously??
Yaani nasura nzuri mrefu wastani
Mi.mremboo kuliwa so unataka umle mtu na chakula utakifanyaje?? Nakuogopa sana.
Labda humu kuna simba
Mimi ni kisura ninaye jitambua ukijisema wewe ni mmbaya utachekwa.hahaha me navunja tuu Mifupa!...angali meno yapo... ila unavyojitapa mwenyewe!...
hahaa usikute ameshafikia menopauseUmalaya uko kwenye forms nyingi sana nowdays.
By the way huna uzuri wowote. Humu JF wanawake wazuri ni wa kuwatafta kwa bainokla.
Daah ouk...nakukaribisha kiurafiki..katoto..Mimi ni kisura ninaye jitambua ukijisema wewe ni mmbaya utachekwa.
Daah ouk...nakukaribisha kiurafiki..katoto..
Mimi ni mwongo, nina matani, au sipo serious?Wewe ni mwongoo unamatani ua not serious???