Katoto kazuri... Ivi nilin utaacha mambo izi???
Wee ni dume, hii unayofanya unamambo gani lkn??.
Ninauhakika 100% hamna mwanaJF ulowah kutana naye,,, wanakufata PM ,ukishawajua unawatafutia sababu ya kuwakimbia, yote hiyo wee ni Mwanaume.
Jaman tubadilike basi.
Sanasana upo hum kujua sura. Kazi za watu na mahali wanapoishi.
Ninaamin unalako jambo, either nisababu hujaajiliwa unataka kupiga watuizinga kwa kujivisha uanamke, au ndo wale wale .
Acha izo mambo aseee ...NACHUKIA MNO.