Single Maza kiboko ya Wavulana

Ukitaka mke wa kucheza nae kwa furaha oa binti / mwali / kigori.

Ukitaka mke wa kukutunza / malezi mazuri oa single mother au mjane au mtalikiwa.

Na wengi tunachanganya Kati ya single mother na mjane mwenye watoto.

Kwa single mother ukimpiga kwenye mshono baasi kwisha habari yake utaenjoy sana. Sasa huo mshono wake utakutana changamoto zake (Umri, tabia na makuzi ya awali ya mtoto).
 
Single mother saviour aya bhana una point ila umeziandika hovyo
 
Wanazingua Sana mkuu

Wananikera Sana hawa jamaa!
Wapo sahihi mkuu kuna ndugu yetu kaoa Single mother maisha yao ni tofauti naamini hasinge oa single mother changamoto anazozipitia zisinge kuwepo, mfano kwenye kujenga uchumi wa familia utakuta single mother anajenga uchumi wa mtoto wake na malengo yake anayaweka kwa mtoto wake wa nje ni tofauti angekuwa hajazaa wala hasinge waza kujenga uchumi wake binafsi na mtoto wake, Single mother wengi wakiolewa wengi wao wanakuwa na malengo yao binafsi, yani mnaingia kwenye ndoa na mwanamke huku yeye akiwa na malengo tofauti ya familia yani yeye anaingia kwenye ndoa ili mtoto wake hasiteseke na awe maisha mazuri, ni tofauti na ukioa mwanamke ambaye hajawahi kuzaa yeye atakuwa anawaza watoto mliozaa naye.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 

Shukrani mkuu Kwa maoni yako

Umetuongezea kitu hapa
 

Asante Kwa maoni yako mkuu

Kwa mujibu ya maelezo yako naona hapo tatizo sio single Maza,Bali tatizo ni hiyo ndugu yako,wakati huyo mama anajenga uchumi wa mtoto huyo ndugu yako alikuwa wapi?

Nadhani shida iko hapo,unless kama utakuwa na maelezo ya ziada
 
Mengi uliyoyasema ni sahihi lakin hapa chini umebugi

Kwahiyo msiwa nyanyase masingle Maza coz hawa kupenda kuwa hivyo Ila ni mazingira Tu sometime Yana wafanya wajikute katika Hali hiyo.

kuna vijinga vinatega mbususu hovyo hovyo pasipo kujua hata kama mwanaume kwa muda huo anataka mtoto,wanawake wengi sasa hawajali wao ni kutega tu,inabid wafanye mapenzi kwa akili
 
Fanyeni kaazi
 

Mkuu shukrani Kwa maoni yako

Kwakiasi Kikubwa nakubaliana na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…