Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,117
- 26,037
Hilo neno mkuuNi kweli lakin hayanihusu...kikubwa wasihukumu wasije kuhukumiwa
Wanazingua Sana mkuuWana msemo mwingine et KUOA SINGO MAZA NI SAWA NA KUNUNUA GAZETI JIONI
Ila we jamaa nimekupenda bure,yaan una positive comments thread zoteLkn kuna baadhi tu ya single mom, ni waelewa sana and understanding baada ya kuona kuna sehemu walikosea....kwenye life yao.
Kweli mkuu kabisa,,,watu wanajifunza kutokana na makosa YaoLkn kuna baadhi tu ya single mom, ni waelewa sana and understanding baada ya kuona kuna sehemu walikosea....kwenye life yao.
Mashallah wallah nimefarijika Sana na Maneno yako mazuriMtuache wengine tushajikubali na usingle mama wetu na hatuna habari na ndoa na wala hatuzifikirii achilia mbali kuzitaka
Kikubwa kwetu ni afya , furaha na uwezo wa kutimiza mahitaji ya watoto wetu basi,
Kila mtu anaishi na kupewa kwa kile anachostahili
So sisi single mama tumewepa kile tunachostahili,haina haja ya kuumia kwa maneno wanayoongea waja ,wala kujishusha thamani na kufikia point ya kutamani au kujifananisha na hao wenzentu ambao si single mama ,walio kwenye ndoa zao na waume zao
Kila mtu anaishi kwa nafasi yake na hii ndo nafasi yetu
Tulishapewa watoto na ni wa kwetu na tushukuru kwa uwepo wao (amna kujuta eti kwanini ilitokea mimi nikawa single mama)
Kubakwa,mjane,kutalakiwa au kutelekezwa vyovyote vile tusianze kujutia mpaka tukajiona hatustahili kwenye jamii
Khaa ebu tuishini maisha yetu na watoto wetu ACHANENI NA HAWA WAJA WA MUNGU
Ndo ishakua sasa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mkuu nakubaliana na wewe 💯Kuwa kwenye hiyo hali siyo dhamira ya kila binti aliyeko uko
Wengi wamejikuta uko sababu wamezaa bado wadogo( wako masomoni ), wamezaa na waume za watu na kukimbiwa na walio wapa ujauzito ( kwenye hili sababu ni nyingi)
Siyo wote waliyoko kwenye hii hali ni wabaya na siyo wote ni wazuri pia
Sababu zinazofanya waogopwe ni nyingi pia mfano vijana wengi huwamini kwamba mtoto ameshatengeneza uhusiano au daraja la kuwakutanisha wazazi hivyo siyo rahisi wao kukubali kuishi na watu wa aina iyo
Mwisho niseme tuu lengo lisiwe kuwasema bali tuhimizane tusitengeneze ilo tabaka
Mabinti wahakikishe wanaingia sehemu sahihi
Na
Vijana wasikimbie majukumu
✊
Hilo paragraph la mwisho kwa dunia tuliyopo ni ngumu sababu hamna kitu kigumu kumshauri binti wa miaka kati ya 18-25 na wengi ndio wahanga.Kuwa kwenye hiyo hali siyo dhamira ya kila binti aliyeko uko
Wengi wamejikuta uko sababu wamezaa bado wadogo( wako masomoni ), wamezaa na waume za watu na kukimbiwa na walio wapa ujauzito ( kwenye hili sababu ni nyingi)
Siyo wote waliyoko kwenye hii hali ni wabaya na siyo wote ni wazuri pia
Sababu zinazofanya waogopwe ni nyingi pia mfano vijana wengi huwamini kwamba mtoto ameshatengeneza uhusiano au daraja la kuwakutanisha wazazi hivyo siyo rahisi wao kukubali kuishi na watu wa aina iyo
Mwisho niseme tuu lengo lisiwe kuwasema bali tuhimizane tusitengeneze ilo tabaka
Mabinti wahakikishe wanaingia sehemu sahihi
Na
Vijana wasikimbie majukumu
✊
Hilo paragraph la mwisho kwa dunia tuliyopo ni ngumu sababu hamna kitu kigumu kumshauri binti wa miaka kati ya 18-25 na wengi ndio wahanga.
Unakuta binti anatembea na mume wa mtu na anajua kabisa jamaa kaoa,still yeye bado anaomaa nae ukimuuliza utamsikia "mume wa mtu anajua kulea ......anajua kutunza...",kesho akipigwa mimba jamaa anarudi kwa mkewe ahana time nae.
Unakuta binti anatembea na mtu ambaye kishazaa na wanawake watatu tofauti, still yy kakoma tuu na jamaa akimzalisha kama kawa anapiga chini anavuta chuma nyingine.Hapo unaweza kuta kuna jamaa yupo ambaye anaweza KUMTIMIZIA MAHITAJI YAKE YA MSINGI lkn unakuta anawang'ang'ania hao sababu wana hela wanaweza kumpa LUXURY LIFE ambavyo si vya msingi ktk maisha yake ,wakija kushtuka wanajikuta washachelewa.
Wapo single mother wachache ambao kweli waliozaa nao wana stahili lawama ,ila wengi wao ni wao wenyewe wameyataka na mara nyingi huambiwaga ukweli ila hawa helewi.
Asante kwa maneno yako na maoni yakoMkuu Etugrul Bey
Kuoa single mother hakukufanyi kuwa mwanaume wa shoka.Unaowaita wavulana eti kwakuwa hawataki kuoa au kuwaponda single mother huenda wanajua mengi kuhusu single mother kuliko wewe
Mkuu kama umeoa au unataka kuoa single mother wewe oa tu ila usijipe cheo cha kuwa utakuwa mwanaume wa shoka baada ya kuoa used.
Waoaji wa single mother ni wanaume wasiojiamini, wanapenda mtelezo na kujipa mamlaka kwa wanawake hao kwakuwa wanajua wamepata wanawake waliokata tamaa, wasiojiamini na wapo tayari kuolewa na yeyote yule ilimradi tu anapumua.
Wewe mpuuzi uliyeamua kuoa hao usituingize sisi kwenye upuuzi huo eti kwakuwa tukioa used tutaonekana wanaume wa maana.