AiseeNi kuwa inspire singo mama waendelee kugawa uroda huku wakilea watoto wao...
hakuna majitu masumbufu kama haya. limoja hapa linanisumbua miaka 11 sasa, ati kila mwanaume anayeenda naye hamfeel, ananifeel mimi aliyenikuta mume wa mtu na anaomba nimpe nafasi ya moyo hata kama nimeoa, mimi ni mkristo, nishaachaga hayo makandokando, ni mlokole na nilizaa naye nikiwa kwenye ndoa zamani hizo za ujinga. hivi nilifanyaje hili lijitu, limesumbua ndoa yangu miaka yote hii.hadi natamani nimtafutie mwanaume nimpe hela ili akamuoe niache kumsikia kabisa for the rest of her life. Mtoto nalea, nasomesha, nampenda mtoto, ila yeye sitaki hata kumsikia.Amani kwenu wanajamvi! Natumaini mko vizuri.
Napenda moja kwa moja kwenda Uzi ambao unaakisiwa haswa na kichwa cha habari
Nipo vijana wanatazama station mpya ya television hapa Tanzania inaitwa zamaradi, sasa katika matangazo nimeona wanatangaza kipindi chao kinaitwa "single mama club" ambacho kinakuwa launched kila j3 kama sjasahau kwa mujibu wa tangazo...
Najiuliza maswali iko kipindi kimejikita kwenye maudhui gani haswa! Sipo nacho negative ila nahofia tu kisijekuwa ni motivational na inspiration kwa Dada zetu na binti zetu kuwa masingo maza Pasi na sabaabu yeyote itakayompelekea yeye kuwa huko, kwasababu kuwa single mother sio dhambi kuna mambo mengi kwa ground ila intentionally dreaming to become a single mother ndio nahofia isijekuwa ni kichochezi maana vijana wetu hawa roll models wao Mara nyingi huwa ni watu maarufu ima ma celebrity, ma player na wana mziki na wengineo pia si kosa ila mbaya ni kuiga vyao vyote hata vibovu
Sjatuhumu kipindi wa kituo na mwenye uelewa na hili anaweza akatoa elimu au ambae amewahi ona maudhui yao pia anaweza kututoa tongotongo...ready to learn.
Mkuu anataka kungeza watoto na wewe hata kama bila ndoa, Wanawake hawapendi kuzaa watoto na Wanaume tofauti ni bora wazae watoto watatu kwa Mwanaume mmoja.hakuna majitu masumbufu kama haya. limoja hapa linanisumbua miaka 11 sasa, ati kila mwanaume anayeenda naye hamfeel, ananifeel mimi aliyenikuta mume wa mtu na anaomba nimpe nafasi ya moyo hata kama nimeoa, mimi ni mkristo, nishaachaga hayo makandokando, ni mlokole na nilizaa naye nikiwa kwenye ndoa zamani hizo za ujinga. hivi nilifanyaje hili lijitu, limesumbua ndoa yangu miaka yote hii.hadi natamani nimtafutie mwanaume nimpe hela ili akamuoe niache kumsikia kabisa for the rest of his life. Mtoto nalea, nasomesha, nampenda mtoto, ila yeye sitaki hata kumsikia.
hakuna majitu masumbufu kama haya. limoja hapa linanisumbua miaka 11 sasa, ati kila mwanaume anayeenda naye hamfeel, ananifeel mimi aliyenikuta mume wa mtu na anaomba nimpe nafasi ya moyo hata kama nimeoa, mimi ni mkristo, nishaachaga hayo makandokando, ni mlokole na nilizaa naye nikiwa kwenye ndoa zamani hizo za ujinga. hivi nilifanyaje hili lijitu, limesumbua ndoa yangu miaka yote hii.hadi natamani nimtafutie mwanaume nimpe hela ili akamuoe niache kumsikia kabisa for the rest of his life. Mtoto nalea, nasomesha, nampenda mtoto, ila yeye sitaki hata kumsikia.
kwanini mzee, au na wewe ni single mother, mbona unatukana bila kutoa sababu ya msingi? vipi jamaa alikutia mimba akakutelekeza?We nimoja kati ya wanaume wapumbafu na wajinga,
Yaweke hapa hayo majibuMbona matangazo ya hicho kipindi yananaelezo ya maswali yako yote ulouliza? Sikiluza na soma promo za ichokipindi vizuri.
Mabinti wengi kwa sasa wanapitia malezi mabovu mabadiliko ya teknolojia kuja kwa hizi smartphone kumechangia sanaIla single mama ni janga jamani la kitaifa!! Lakin sisi wanaume tunachangia Sana Hali hiyo!! Wengi hamtaki kuoa,mnawazalisa na kuwaacha,pia ugumu wa maisha ni kigezo kingine,mwisho ujeuri wa wanawake wakiwa kwenye ndio,wakidhani walifanya wrong choice!! Anyway tuanzishe single babaz tujibu mapigo
Lugha uliyoitumia ni mbaya. Sana Mungu akusamehe. Mungu ni mwema atamjibu kwa wakati wakehakuna majitu masumbufu kama haya. limoja hapa linanisumbua miaka 11 sasa, ati kila mwanaume anayeenda naye hamfeel, ananifeel mimi aliyenikuta mume wa mtu na anaomba nimpe nafasi ya moyo hata kama nimeoa, mimi ni mkristo, nishaachaga hayo makandokando, ni mlokole na nilizaa naye nikiwa kwenye ndoa zamani hizo za ujinga. hivi nilifanyaje hili lijitu, limesumbua ndoa yangu miaka yote hii.hadi natamani nimtafutie mwanaume nimpe hela ili akamuoe niache kumsikia kabisa for the rest of his life. Mtoto nalea, nasomesha, nampenda mtoto, ila yeye sitaki hata kumsikia.
lugha nimetumia mbaya kwa mtu anayejua nimeoa, anasumbua mimi na mke wangu kwa miaka 11? ati anataka nimuoe hivyo hivyo na aliingilia ndoa ya mwenzake? huyu si pepo huyu?L
Lugha uliyoitumia ni mbaya. Sana Mungu akusamehe. Mungu ni mwema atamjibu kwa wakati wake
uache kumsikia kabisa for the rest of 'his life '..??hakuna majitu masumbufu kama haya. limoja hapa linanisumbua miaka 11 sasa, ati kila mwanaume anayeenda naye hamfeel, ananifeel mimi aliyenikuta mume wa mtu na anaomba nimpe nafasi ya moyo hata kama nimeoa, mimi ni mkristo, nishaachaga hayo makandokando, ni mlokole na nilizaa naye nikiwa kwenye ndoa zamani hizo za ujinga. hivi nilifanyaje hili lijitu, limesumbua ndoa yangu miaka yote hii.hadi natamani nimtafutie mwanaume nimpe hela ili akamuoe niache kumsikia kabisa for the rest of his life. Mtoto nalea, nasomesha, nampenda mtoto, ila yeye sitaki hata kumsikia.