Single mama njoon tuongee kudogo

Single mama njoon tuongee kudogo

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
427
Kwanza kabisa nawapongeza Sana kwa kuamua kuzaa wala hamkushawishika kutoa au kutupa watoto choon
Nina ushaur kidogo kwa wewe single mama ambae unataka uje uolewe uwe na mume

Single mama tukijiweka vizuri tunanafasi kubwa Sana ya kuolewa siku hizi....wanaume wengi Sasa hv wamekua wavivu na waoga wa maisha hivyo single mama ukiwa mpambanaji tu watakufata Kama utitili
Chakufanya Kama unamtoto mmoja
Plz usidanganyike tena ukazaa mwingine kabla ya ndoa nooooo mmoja iwe ulimpata kwa bahati mbaya au ulipanga basi tu changamoto zikatokea basi tusirudie kosa
Chakufanya
1) punguza mawasiliano ya baba wa mtoto Kama yupo hai ...Kama unajiweza kiuchum Salam iwe maramoja baada hata ya miez , sio mtu mlisha achana asabuh anapiga cm mchana jion et anamsalimia mtoto angetaka uwo ukaribu angekuoa ili aishi karibu na mtoto wake yaan hili la muhimu Sana ...wanaume wengine hataki kuishi na ww lkn kwa vile unamtoto wake anataka akutumie anavyotaka anataka uwe chini yake kataa uo ujinga jazz band

2) jiweke vizuri my dear vaa vizuri pendeza, vaa kiheshima kua na tabia nzuri sio kila mwanaume unapita nae kisa sijui nn no!! Elewa Kuna wanaume wengine akiona unamtoto anakufikiria tofaut ivyo wanaona hapo pa kupita tu aiseee kua expensive mwanamke ...jithamin , jipende usipatikane kurahisi rahisi tu

3) kubwa kuliko tafuta pesa mama Yan kua na akili ya maisha pambana pangilia mambo yako ..wanaume wa siku hizi wengi hawana akil za maisha anaweza kua na Kaz nzuri kipato kikubwa lakin hajui afanye nn aanze na kipi
Kua positive mkikutana maongez yako asilimia kubwa iwe maisha tufanye hiki tununue hiki aiseee mama utajiongezea credit
Usiwe mzigo kwake uwe na kitu Cha ziada aiseee
4) ukiingia ndoan pambana mtoke kimaisha muheshim usimlazimishe ampende mtoto wako Kama kamzaa yeye

Hayo yote kwa wale wenye nia ya kuolewa tu
Mimi nilijipatia Eng wangu maisha yanasonga ninamtoto 1 alinikuta na biashara zangu napambana nina 33yrs hapa nipo kwenye mafundisho ya ndoa 14/9
vibint ofcin kwa jamaa haviamni Kama jamaa kaviacha pamoja nakujipendekeza japo mwanzo alikua na kaubahil fulan hv Sasa hv kanyooka nimemjulia Wala sihangaiki nae nacheza zangu michezo/ vibati vya maendeleo.
 
Mabaharia tunawaambia kila siku lkni hawasikii Daah jamaa kaamua ajilipue kabisa ngoja tusibiri na yeye uzi wake

Hata hvyo hongera sana mkuu wape somo hao
 
Mbali ya kwamba kuolewa ni bahati. Hata kama uliachika ukiwa na mtoto tayari, pia hutegemea na wewe kwenye shughuli zako za kila siku unakutana na wanaume wa aina gani. Ukijifungia ndani kila siku utazeeka bila mume na kuishia kumchukia mtoto kuwa kakuletea nuksi. Mwanamke ukiwa 'wife material' hata ukizalishwa watoto wawili bado una nafasi ya kupata mume mwingine na maisha yakasonga.
 
Mr engineer na ujanja wake wote kaamua kanunua kiwanja chenye mgogoro.
..
Vipi mzazi mwenzako unawasiliana naye ?
Mara ya mwisho amepasha kiporo lini ?sema ukweli wako.

Hata mimi natarajia kununua kiwanja chenye mgogoro na ujanja wangu wote
 
Kwanza kabisa nawapongeza Sana kwa kuamua kuzaa wala hamkushawishika kutoa au kutupa watoto choon
Nina ushaur kidogo kwa wewe single mama ambae unataka uje uolewe uwe na mume

Single mama tukijiweka vizuri tunanafasi kubwa Sana ya kuolewa siku hizi....wanaume wengi Sasa hv wamekua wavivu na waoga wa maisha hivyo single mama ukiwa mpambanaji tu watakufata Kama utitili
Chakufanya Kama unamtoto mmoja
Plz usidanganyike tena ukazaa mwingine kabla ya ndoa nooooo mmoja iwe ulimpata kwa bahati mbaya au ulipanga basi tu changamoto zikatokea basi tusirudie kosa
Chakufanya
1) punguza mawasiliano ya baba wa mtoto Kama yupo hai ...Kama unajiweza kiuchum Salam iwe maramoja baada hata ya miez , sio mtu mlisha achana asabuh anapiga cm mchana jion et anamsalimia mtoto angetaka uwo ukaribu angekuoa ili aishi karibu na mtoto wake yaan hili la muhimu Sana ...wanaume wengine hataki kuishi na ww lkn kwa vile unamtoto wake anataka akutumie anavyotaka anataka uwe chini yake kataa uo ujinga jazz band

2) jiweke vizuri my dear vaa vizuri pendeza, vaa kiheshima kua na tabia nzuri sio kila mwanaume unapita nae kisa sijui nn no!! Elewa Kuna wanaume wengine akiona unamtoto anakufikiria tofaut ivyo wanaona hapo pa kupita tu aiseee kua expensive mwanamke ...jithamin , jipende usipatikane kurahisi rahisi tu

3) kubwa kuliko tafuta pesa mama Yan kua na akili ya maisha pambana pangilia mambo yako ..wanaume wa siku hizi wengi hawana akil za maisha anaweza kua na Kaz nzuri kipato kikubwa lakin hajui afanye nn aanze na kipi
Kua positive mkikutana maongez yako asilimia kubwa iwe maisha tufanye hiki tununue hiki aiseee mama utajiongezea credit
Usiwe mzigo kwake uwe na kitu Cha ziada aiseee
4) ukiingia ndoan pambana mtoke kimaisha muheshim usimlazimishe ampende mtoto wako Kama kamzaa yeye

Hayo yote kwa wale wenye nia ya kuolewa tu
Mimi nilijipatia Eng wangu maisha yanasonga ninamtoto 1 alinikuta na biashara zangu napambana nina 33yrs hapa nipo kwenye mafundisho ya ndoa 14/9
vibint ofcin kwa jamaa haviamni Kama jamaa kaviacha pamoja nakujipendekeza japo mwanzo alikua na kaubahil fulan hv Sasa hv kanyooka nimemjulia Wala sihangaiki nae nacheza zangu michezo/ vibati vya maendeleo.
Anna pita, MUNGU anayeishi wa mbinguni akupe hakuzidishie haja ya ndani ya moyo wako uwe mke mwema kwa mumeo na mfano kwa wanawake wote. Kila lililo jema likatimie kwenye maisha yako yote ya ndoa yako, ukawe mtii na msikivu na muaminifu kwa mumeo siku zako zote za ndoa. MUNGU akawape watoto wazuri wa kike na wakiume wenye kumcha MUNGU.
Baraka za BWANA ziwafuate kila mnapokanyaga kwa nyayo za miguu yenu wewe na mumeo.
Maana ndoa ni jambo jema kwa BWANA.
Na umeonyesha ukomavu wa akili kwa kiwango cha juu sana cha kuwa mfano kwa wanawake wengine.
"Imekuwa".
 
Kwanza kabisa nawapongeza Sana kwa kuamua kuzaa wala hamkushawishika kutoa au kutupa watoto choon
Nina ushaur kidogo kwa wewe single mama ambae unataka uje uolewe uwe na mume

Single mama tukijiweka vizuri tunanafasi kubwa Sana ya kuolewa siku hizi....wanaume wengi Sasa hv wamekua wavivu na waoga wa maisha hivyo single mama ukiwa mpambanaji tu watakufata Kama utitili
Chakufanya Kama unamtoto mmoja
Plz usidanganyike tena ukazaa mwingine kabla ya ndoa nooooo mmoja iwe ulimpata kwa bahati mbaya au ulipanga basi tu changamoto zikatokea basi tusirudie kosa
Chakufanya
1) punguza mawasiliano ya baba wa mtoto Kama yupo hai ...Kama unajiweza kiuchum Salam iwe maramoja baada hata ya miez , sio mtu mlisha achana asabuh anapiga cm mchana jion et anamsalimia mtoto angetaka uwo ukaribu angekuoa ili aishi karibu na mtoto wake yaan hili la muhimu Sana ...wanaume wengine hataki kuishi na ww lkn kwa vile unamtoto wake anataka akutumie anavyotaka anataka uwe chini yake kataa uo ujinga jazz band

2) jiweke vizuri my dear vaa vizuri pendeza, vaa kiheshima kua na tabia nzuri sio kila mwanaume unapita nae kisa sijui nn no!! Elewa Kuna wanaume wengine akiona unamtoto anakufikiria tofaut ivyo wanaona hapo pa kupita tu aiseee kua expensive mwanamke ...jithamin , jipende usipatikane kurahisi rahisi tu

3) kubwa kuliko tafuta pesa mama Yan kua na akili ya maisha pambana pangilia mambo yako ..wanaume wa siku hizi wengi hawana akil za maisha anaweza kua na Kaz nzuri kipato kikubwa lakin hajui afanye nn aanze na kipi
Kua positive mkikutana maongez yako asilimia kubwa iwe maisha tufanye hiki tununue hiki aiseee mama utajiongezea credit
Usiwe mzigo kwake uwe na kitu Cha ziada aiseee
4) ukiingia ndoan pambana mtoke kimaisha muheshim usimlazimishe ampende mtoto wako Kama kamzaa yeye

Hayo yote kwa wale wenye nia ya kuolewa tu
Mimi nilijipatia Eng wangu maisha yanasonga ninamtoto 1 alinikuta na biashara zangu napambana nina 33yrs hapa nipo kwenye mafundisho ya ndoa 14/9
vibint ofcin kwa jamaa haviamni Kama jamaa kaviacha pamoja nakujipendekeza japo mwanzo alikua na kaubahil fulan hv Sasa hv kanyooka nimemjulia Wala sihangaiki nae nacheza zangu michezo/ vibati vya maendeleo.
Vipi kuhusu ulaji wa kipolo changu kila ninapokihitaji ?
Hapa namaanisha kama bado una mawasiliano na baba mtoto muda wowote baba akikuita anataka mzigo lazima apewe na kinachowaponza ni vihela vya matunzo ya mwanae anavyotoa baba kila wakati kwahiyo pindi anapotaka kupoza jembe akiomba anapewa
Je ni sahihi apewe?
 
Mwanamke ukishazaa naye ni kama kuna kitu kime waunganisha baina yenu wawili,Na hicho kitu ni ngumu kuja kuwatenganisha,labda iwe kifo tu,Nina Bro wangu kazaa na wanawake wawili na watoto kasha wachukua wako kwa mama pale,Ila Bro kila akiwahitaji mzgo anakula sana tu,Hata mwanamke apunguze mawasiliano na mzazi mwenzie lakin siku akiolewa na mwanaume mwingne ipo siku ata mkumbuka yule mwanaume wake wakwanza aliye zaa naye,Achilia mbali kuzaa,Hata mwanamke uliye mtoa Usichana wake akiolewa una asilimia 60 za kumtafuna endapo ukimhitaji.
 
Wengine mayai yakiwasumbua sana esp. baada ya kuacha kunyonyesha wanajikuta wamemkubali mwanaume asiye na mpango nae..? ANNA PITA unawashauri nini?
 
Mwanamke ukishazaa naye ni kama kuna kitu kime waunganisha baina yenu wawili,Na hicho kitu ni ngumu kuja kuwatenganisha,labda iwe kifo tu,Nina Bro wangu kazaa na wanawake wawili na watoto kasha wachukua wako kwa mama pale,Ila Bro kila akiwahitaji mzgo anakula sana tu,Hata mwanamke apunguze mawasiliano na mzazi mwenzie lakin siku akiolewa na mwanaume mwingne ipo siku ata mkumbuka yule mwanaume wake wakwanza aliye zaa naye,Achilia mbali kuzaa,Hata mwanamke uliye mtoa Usichana wake akiolewa una asilimia 60 za kumtafuna endapo ukimhitaji.

Tena awe amezaa kwa kisu ndio hakusahau kabisa
 
Mr engineer na ujanja wake wote kaamua kanunua kiwanja chenye mgogoro.
..
Vipi mzazi mwenzako unawasiliana naye ?
Mara ya mwisho amepasha kiporo lini ?sema ukweli wako.

Hata mimi natarajia kununua kiwanja chenye mgogoro na ujanja wangu wote
Mzazi mwenzangu aliniletea Mambo ya kupiga usiku na mchana Mungu anisamehe nilimtukana nikamwambia naomba mtoto wako akikua atakutafuta elewa yupo salama na anaendela vzuri nikablock kila mahar nashukuru Mungu tangu nimefanya hivyo ninaamani kabisa
 
Najua hapa una nogesha uzi tu.
 
Umewaelekeza vizuri... ngoja waje...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: mahondaw
 
Najua hapa una nogesha uzi tu.
Kwamba haiwezekan au? Mwanamke mpumbavu tu ndio anaeweza kufanya huo upumbavu kwamba labda mwanaume alikutelekeza na mtoto akaoa mwanamke mwingine bado wewe umepata mwanaume kaona thaman yako kaweka ndani alafu nianze kumpa k yangu? Narudia tena nimwanamke mpumbavu pekee ndio anaeweza kufanya uo upumbavu
 
Back
Top Bottom