Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
Nasubiri mawe mkuuNimeuelewa utafiti huu ila watakuvamia mkuu.Kimbia
Aliyekuambia Uchawi ni matusi ni Nani?Mkuu utakuwa mganga wa kienyeji aki ya nani tena.ili ukijue kitu kwa undani zaidi lazima na wew uwe mhusika mkuu.
Mwandiko wako unaonyesha unadeal Na wanawake sana hususani hao unaowaita singo mamaz kwa kuwapa dawa za kuoga.
Kuna baadhi ya binadamu hawana shukrani hata kidogo.yani mama atelekezewe mimba tumbon,akuzae kwa uchungu,unyonye titi lake hadi liwe kandambili za batabata au umoja,akulee ,akusomeshe wew mpaka umejitambua halafu uje umtukane kwa kumwambia hajiamini ni ni mchawi!!!!
Kati ya hao singo mamz unaowapa hiyo miti shamba na hao wanaume walitelekeza mimba mpka zimekuwa watoto,nani hajiamini????
Mkuu ni kweli wanawake tunamapungufu pengine kuliko mtujuavyo lkni msitukashfu namna hiyo.haipendezi.wewe mwenyewe kama sio huyu mwanamke unaemwita hajiamin kukuzaa wew sidhani kama leo ungeleta uzi hapa.
Hakuna haja ya matusi tukala ban mkuu hahahaha hahahahahaha........maisha ya jf matatu.
It begins with You mkuu.usikatae mimba ukaongeza namba za singo mamz mtaani.peace
Mkuu kama sijakosea wewe ndie yule uliyempa dada wa 60elfu lodge then ukampokonya juu kwa juu.na hiyo ni hela tu ilikutoa imani.angekwambia anamimba yako si ungetokea dirishani wew.Aliyekuambia Uchawi ni matusi ni Nani?
Na kusema ukweli ni vibaya?
Mbona unahangaika Mkuu.Mkuu utakuwa mganga wa kienyeji aki ya nani tena.ili ukijue kitu kwa undani zaidi lazima na wew uwe mhusika mkuu.
Mwandiko wako unaonyesha unadeal Na wanawake sana hususani hao unaowaita singo mamaz kwa kuwapa dawa za kuoga.
Kuna baadhi ya binadamu hawana shukrani hata kidogo.yani mama atelekezewe mimba tumbon,akuzae kwa uchungu,unyonye titi lake hadi liwe kandambili za batabata au umoja,akulee ,akusomeshe wew mpaka umejitambua halafu uje umtukane kwa kumwambia hajiamini ni ni mchawi!!!!
Kati ya hao singo mamz unaowapa hiyo miti shamba na hao wanaume walitelekeza mimba mpka zimekuwa watoto,nani hajiamini????
Mkuu ni kweli wanawake tunamapungufu pengine kuliko mtujuavyo lkni msitukashfu namna hiyo.haipendezi.wewe mwenyewe kama sio huyu mwanamke unaemwita hajiamin kukuzaa wew sidhani kama leo ungeleta uzi hapa.
Hakuna haja ya matusi tukala ban mkuu hahahaha hahahahahaha........maisha ya jf matam.
It begins with You mkuu.usikatae mimba ukaongeza namba za singo mamz mtaani.peace
Hata single Baba hatari hii unawahusu Mkuu.naona mnataka kurudisha huu upepo wa kuwasema single mama
Wewe utakuwa Mganga wa kienyeji au mpiga ramliHatari...bora mimi ni single father
Mkuu kama sijakosea wewe ndie yule uliyempa dada wa 60elfu lodge then ukampokonya juu kwa juu.na hiyo ni hela tu ilikutoa imani.angekwambia anamimba yako si ungetokea dirishani wew.
Mkuu bhana bora niishie hapa maana tunaweza lianzisha dude lingine likatembea ban la maana hapa
Hii ipo hivyo mkuuKisemachwo kinaweza kuwa kweli kwa 75%..!
Ni kweli Mkuu.Mwanamke asiyejiamini ni tatizo, Ndio hao wanaowalisha wanaume limbwata
Hii ni mpaka dahari mkuuDude la Single Mothers limeamshwa tena!!!
Kaaazi kwelikweli
Usicheke mkuu ndio Hali halisi.Duuu imenibidi nicheke tuu hahahaha