Single mama kuweni makini na watoto

Single mama kuweni makini na watoto

Topic ni nini hasa,
Ni mtoto kuwa introduced kwa boyfriends?
Au watoto kuwa exposed kwa sex prematurely?

Nitakupa mifano nilipewa na mwalimu wa mwanangu (my bad if she didn't want me sharing this)
akasema ilitokea shule za zamani alizofundisha,
Wote hawa ni watoto wa kindergarten 4-5yrs old walionyesha explicit sexual behaviors shuleni na kufundishana, kuuliza mmeona wapi?

i) when mum and dad come to sleep I cover myself with the bed sheet they do it on the couch they don't see me

ii) I see videos in my dad's phone when he takes me to school, I turn the volume down he doesn't hear

iii) I watch videos on the tv with dada (house girl) in the sitting room

iv) mtu na kaka yake wamepishana like 2yrs wanalala chumba kimoja lakini double decker, lakini wazazi wakiamka asubuhi wanakuta kaka mtu kalala kuwa mdogo mtu

NOTE: Kati ya hawa nafikiri single mum ni huyo mwenye dada coz sikumbuki akimtaja baba wa mtoto.

Having said that I'm also against introducing your kids to mere boyfriends!
 
Usiwachukie mkuu, Waelewe

Ukitaka upendwe na single mother we mpende mtoto wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jambo ni kweli hujadanganya kabisa. Lakin embu tuseme ukweli ni binadamu wangapi wanaweza kupenda unconditionally? Jibu ni wachache mno.

Wengi wa wanawake wenzangu, wenye watoto bila wenza, kuna ka self centered wanako. Most of the times gender yetu tunafail kureason, ama niseme kutumia akili. Wengi wetu hisia zimekuwa damaged maana tuna mambo yanatuzonga.

Unakuta mtoto wako hahudumiwi na baba ake, ama mwanaume aliekuzalisha kaoa afu hamlei mtoto..na huko anaishi maisha ya mazuri..(si post za whatsapp na insta unaziona), ama una roho mbaya na chuki ama kisirani..(hupendi aone kafanikiwa), ama una mpenda sanaa mtoto wako mpaka imekua extreme kiasi kwamba akija mwanaume..ule moyo uko kwa mtoto wako na yeye unampenda kikawaida sana sana kwa kumpa chiu lakin other sweet actions ni wewe na mtoto. Kuna scenarios nyingi sana siwez kuandika hapa zote.

All this wanaume wanapoona..huwa wanaona hili sio chaka. Maana mwanaume nae anakupenda na anataman your full submission, sasa anapoona ni wewe na mtoto wako aka dunia yako..anaona kabisa hapa huyu inawezekana bado anampenda past mjamaa. This creates questions, doubts, blocks,unanswered questions in a man's heart and mind. Inahitaji mtu mwenye capacity kubwa ya ufahamu, hekima, busara na upendo ambao Mungu amkirimie ili kuweza kumbeba such a woman.

Kwa kifupi wengi wa wanawake hawa..wako damaged kihisia. Alijiandikia to yeye hapa kwamba a man is a man..anahitajika katika familia hata awe mlev dogiii... Sio rahisi kufanya kila kitu wewe kwa m/wa toto bila kupata msaada au kuupata kwa kiasi kidogo..si rahisi kabisa.

Nakuombea wewe unayesoma hapa, na unapita in a similar situation, ya kulea mwenyewe ama kumpenda mwanamke wa mfano huu na bado una maswali na doubts zinakutatiza.. Mungu akakupe ufahamu, moyo, akili ya kuweza kulibeba hili. Na pia akuwezeshe uweze kumlea mtoto vizuri katika misingi ya kiMUNGU..huo upweke unaojisikia...may Jesus fill that place na akupe ujasiri wa kuendelea kupambana.
Natamani niandike zaid ila acha niishie hapa!!
 
nimekuelewa vizuri sana sanaa.

wanaume mbona hatunagashida kabisa ,
Tupo akinasisi ambao hatuoni ulazima wa kuzaa watoto wetu wakat wapo watoto mitaani kibao ambao wanahitaji baba.

me ninawazo! kwann serikali isitoe leseni ya watu kuzaa! yaani watu wasiruhusiwe kuzaa mpaka pale watakapofikia vigezo.
siwafichi ndugu zangu, KUNA WATU KIBAO HAWASTAHILI KUWA BABA WALA MAMA .
 
Hivi ni lazima kila mtu azae watoto wake?
nani kakwambia tunahitaji mbegu yako kwenye kizazi kijacho?
ni ubinafsi tu!
sasa kama hauna uwezo kwann uzae ?

Mitaani huku tupo na jopo la watoto wadogo ukiwatizama masikini tayar kameshaharibika mpaka unajiuliza wazaz mpo wapi?

unitajie mtu mwenye watoto ambae anajali watoto wa mwingine?
 
Hili jambo ni kweli hujadanganya kabisa. Lakin embu tuseme ukweli ni binadamu wangapi wanaweza kupenda unconditionally? Jibu ni wachache mno.

Wengi wa wanawake wenzangu, wenye watoto bila wenza, kuna ka self centered wanako. Most of the times gender yetu tunafail kureason, ama niseme kutumia akili. Wengi wetu hisia zimekuwa damaged maana tuna mambo yanatuzonga.

Unakuta mtoto wako hahudumiwi na baba ake, ama mwanaume aliekuzalisha kaoa afu hamlei mtoto..na huko anaishi maisha ya mazuri..(si post za whatsapp na insta unaziona), ama una roho mbaya na chuki ama kisirani..(hupendi aone kafanikiwa), ama una mpenda sanaa mtoto wako mpaka imekua extreme kiasi kwamba akija mwanaume..ule moyo uko kwa mtoto wako na yeye unampenda kikawaida sana sana kwa kumpa chiu lakin other sweet actions ni wewe na mtoto. Kuna scenarios nyingi sana siwez kuandika hapa zote.

All this wanaume wanapoona..huwa wanaona hili sio chaka. Maana mwanaume nae anakupenda na anataman your full submission, sasa anapoona ni wewe na mtoto wako aka dunia yako..anaona kabisa hapa huyu inawezekana bado anampenda past mjamaa. This creates questions, doubts, blocks,unanswered questions in a man's heart and mind. Inahitaji mtu mwenye capacity kubwa ya ufahamu, hekima, busara na upendo ambao Mungu amkirimie ili kuweza kumbeba such a woman.

Kwa kifupi wengi wa wanawake hawa..wako damaged kihisia. Alijiandikia to yeye hapa kwamba a man is a man..anahitajika katika familia hata awe mlev dogiii... Sio rahisi kufanya kila kitu wewe kwa m/wa toto bila kupata msaada au kuupata kwa kiasi kidogo..si rahisi kabisa.

Nakuombea wewe unayesoma hapa, na unapita in a similar situation, ya kulea mwenyewe ama kumpenda mwanamke wa mfano huu na bado una maswali na doubts zinakutatiza.. Mungu akakupe ufahamu, moyo, akili ya kuweza kulibeba hili. Na pia akuwezeshe uweze kumlea mtoto vizuri katika misingi ya kiMUNGU..huo upweke unaojisikia...may Jesus fill that place na akupe ujasiri wa kuendelea kupambana.
Natamani niandike zaid ila acha niishie hapa!!
Misingi ya kimungu huku wazazi wanaishi kishetani uliona wapi ikafanikiwa? We washauri kama mtu kaingia kwa single mother awe na nia ya kuoa na single mother akipata nafasi hiyo awe tayari kuolewa sio njia ya mkato ya kuzalishana kimtaamtaa miaka nenda rudi huku mmeandikiwa uzinzi mbinguni.Tuwashauri watu wawe na moyo wa kutambua kuwa uzinzi haukubaliki mbele za Mungu na usihalalishwe kwa mazingira yoyote yale tukahisi utaitwa safi ,never .
Hata umlinde single maza kwa miaka 30 kama hujamwoa kihalali kabisa , ukifa makazi yako jehanamu hata kama uliwatunza watoto wake vizuri kwa kadri ulivyoweza bado wewe ni mzinzi na huna haki mbele za Mungu.
 
Duh..
Watoto wadogo wanazoeshwa tangu mapema kuwa mahusiano ni mambo mepesi tu, yaani disposable kama tissue paper. Unaweza kuwa na huyu leo, kesho yule, na kesho kutwa mwingine.. Kama kuku tu🙄
 
Umepanic kujibu mpendwa. Kama umenielewa nimeandika Mungu ambariki msomaji aweze kumlea mtoto wake katika misingi ya kiMUNGU. Huwezi kumlea katika misingi ya KiMUNGU kama mzazi na wewe humtafuti Mungu. Anatakiwa aamend his or her ways ndo ataweza kumlea mtoto huyo katika njia sahihi.
 
Duh..
Watoto wadogo wanazoeshwa tangu mapema kuwa mahusiano ni mambo mepesi tu, yaani disposable kama tissue paper. Unaweza kuwa na huyu leo, kesho yule, na kesho kutwa mwingine.. Kama kuku tu🙄
WE NEED TO TEACH RELATIONSHIP SKILLS
watoto wafundishwe relationship skills kuanzia mashuleni, nyumba za ibada mpaka ngazi ya familia majumbani.

  1. Teach your boys how to be a man (FIT, FRIENDLY, MASCULINE AND SEXY). Usipowafundisha kuna soul hunter jezebel toxic watawadanganya nakuzivuna energy zao. kuna watu wapo kwaajili ya kukausha life force za vijana wadogo ambao hawana uangalizi. teach your boys to focus on they wellbeing and not money and success ..............
  2. Teach your girls how to be (FIT, FRIENDLY, FEMININE AND SEXY), How to do some basic skills like how to cook, clean, cater for a family AND A MAN.
 
Nina dada yangu Single maza,
Yeye alikuwa na chumba kimoja, na wanaume walikuwa wanamfuata hukohuko.Mtoto wake wa miaka saba wa kike, wanamlaza chini. mtoto anasikia kila kitu usiku huo.
 
Ukamuacha aendelee kuishi hapo
 
MTOTO NDIO ALIYEKUJA KUTOA TAARIFA, KWAMBA HATAKI KUKAA KWA MAMA YAKE KWA SBB HIZO.
MTOTO ALIKWENDA KUISHI NA BIBI

Dah ninge mpiga huyo mama mpaka akili ikawe sawa
 
Hayo yapo kwa wote unakuta baba na mama wanakaa single room na watoto wao wote kifuatacho nn angalia maisha ya dar
 
Back
Top Bottom