Uwe MAKINI katika ushauri wa mleta uzi, ni kweli single mothers wengi wanawatambulisha wanaume tofauti tofauti kwa watoto wao kuwa ni baba zao. Hii inaharibu psychology ya mtoto katika maswala ya mahusiano baadae...Tusamehe mkuu
Mi mwanaume simleti kwangu mpaka niwe na uhakikaUwe MAKINI katika ushauri wa mleta uzi, ni kweli single mothers wengi wanawatambulisha wanaume tofauti tofauti kwa watoto wao kuwa ni baba zao. Hii inaharibu psychology ya mtoto katika maswala ya mahusiano baadae...
Jitahidi umalize tu mkuu, hoja yake ni nzuri sana tu, msamehe tu katika swala la uandishi kwakweli.Mada yako ni nzuri ila uandishi wako ni mbaya kichizi nimeishia kati.
Sio lazima kuwa na uwakika bali inategemea na aina ya utambulisho unaoufanya mbele ya mwanao/wanaoMi mwanaume simleti kwangu mpaka niwe na uhakika
Kiufupi siwez mleta mwanaume kwangu wakati najua naishi na watoto mkuuSio lazima kuwa na uwakika bali inategemea na aina ya utambulisho unaoufanya mbele ya mwanao/wanao
Usiwachukie mkuu, Waelewe
Ukitaka upendwe na single mother we mpende mtoto wake
Sent using Jamii Forums mobile app




et mtoto wkeHata sijaelewaaa mada inahusu nn, aliye elewa anieleweshe, nimesoma mara 3 lakini holla. Mweeeeeh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ndugu hebu jifunze pia kiswahili vizuri. Hata kama waalimu hawalipwi vizuri ila sitaki kuamini hawakukufundisha kiswahili na maneno yanaandikwaje
Tatizo lao kuu ni kuwapa watoto wao sumu wakidhani wanawajenga kumbe wanawabomoa, nao uishia kuwa single sababu ya uchungu yaani kuishi hisia zilizopita.
Wengi wanashida ya akili, kuwa single mama kisiwe kigezo cha kukata tamaa ya kuolewa. Simama futa yaliyopita ita nguvu mpya ukimpata mtu muheshimu usiishi yaliyopita wanaume wote sio sawa.
Utamuelewa akijua kuandika ila badala ya hila au ludi badala ya rudi





nyie mie staki lolKwanza kwa nin huyo baba amuone mtoto live kwa picha hakunaMorng
Happy new year in advance
Single mama baadhi yenu hamjitambui bado sana kwasababu wewe unajijua single mama then unaenda kumtambulisha mtoto mpenzi wako muite baba usiwe na uwakika kama mtafunga ndoa kesho morng unaachwa kesho kutwa unampeleka baba mwingine unawatambulisha tena watoto vile vile na unafanya mambo yako na huyo baba watoto wanaona hiyo ni akili kweli
Nina mfano halisi mpaka nasema hivi nimeshuhudia mimi sijabahati mtoto hila ninakaa ma watoto wa dada zangu jioni huwa nawaachia huru kwenda kucheza na wenzao
Sasa kuna siku watoto walienda kucheza walipo ludi jioni nikawatega kwasababu mmoja ni mkorofi atakinkuona mdogo wake anaonewa nikawauliza kwanini mnawapiga wenzenu uko nje mtakuwa hamtoki ndani
Ndio mdogo akalopoka uncle g yule p alikuwa ananionesha uchi wake af anachukua mdudu wangu anasema niingize nilistuka sana huyo p ni mtoto wa single mama ambaye kila siku anamtambulisha baba mpya
Nikafoka nikasema kwazia leo hakuna mtu kutoka hapa huko mnaenda kucheza michezo ya ajabu vuta picha hawa watoto wna miaka minne wote
Mmoja akaaza kujitetea uncle wewe si uliniambia nikifahuru nitakuwa nacheza mimi si nimekuwa wa pili uncle g shule ikifunguliwa nitakuwa wakwaza lakini niruhusu niwe nacheza hila p sitacheza nae
Mimi sina mke hila nina mchumba na hajawai kuja home ata siku mmoja nina kaa na dada wa kazi nikiwa na shida zangu naenda kwake au tunaenda logde na watoto naaga nimesafirinkabisa
Sasa ninyi single mama mnashindwa kweli kwenda lodge au mnakopwaga kinacho niuma mimi ni kwanini muwatambulishe watoto mababa tofauti kila siku?
Mnapokuwa kwemye faragha kwanini msiweke kipaumbele kwa watoto kuhakikisha hawapo sehemu ya tukio