Single ladies: Kwanini uko benchi mpaka leo?

Mkuu na mwanaume naye akifanya hayo anastahili kuoa??
 
Wow ila wanawake ndiyo mnataka mkute wamekamilika tayari ni wife material kwa sababu wao ni malaika ila wanaume ndiyo binadamu si ndiyo??
 
Wow ila wanawake ndiyo mnataka mkute wamekamilika tayari ni wife material kwa sababu wao ni malaika ila wanaume ndiyo binadamu si ndiyo??
Nitaassume unatumiaga bible

Genesis 2:18
The Lord God said, “It is not good for the man to be alone. I will make a helper suitable for him.

Mungu alimuumba mwanamke katika mapungufu ya mwanaume, Ili mwanaume akamilike he needs a suitable woman and not just any woman.

Hivyo kuna namna ambayo mwanamke anatakiwa awe ili awe suitable kwa mwanaume na kukamilisha pale palipo na mapungufu ya mwanaume. Hopefully umenielewa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Muda wao wa kuingia kwenye mahusiano haujafika.
Hawahitaji kuingia kwenye mahusiano kwa kufuata mkumbo tu au ili waonekane nao wapo kwenye mahusiano.
Muda gani unauzungumzia, mtu yuko kwenye late 20s na 30s & above, muda upi bado hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…