1. Don't be in a hurry to move out of your parents house.
2. Don't wait for a man before you start living.
3. Stay away from alcohol.
4. Don't entertain a wrong number call,especially at night.
5. Develop a healthy eating habit.
6. Dress well: First Impression counts
7. Don't use sex as proof of love.
8. Don't marry for the money.
9. Add value to yourself - get a career.
10. Beauty is not everything. If it is all you have, you'll lose your place to someone more beautiful, more matured and competent than you..!
nipo hivi hivi siku zote kakaSasa unaonekana kukua kidogo
Sisemi haya kwakuwa umesema
Kwasababu najua kuna utofauti kati ya kusema na kutenda
Ila kwakuwa nimeona umuhimu wako wa kuyaona haya kuwa ya muhimu na kuyaleta hapa
Kutenda jambo lolote huanzia pale mtu anapoliona jambo hilo kuwa la muhimu
Hivyo hata kama huyatendi haya lakini kitendo cha kuyaona kuwa yanamfaa mwanamke ni hatua muhimu
Kamaumeanza kuyatenda unastahili kujipongeza kwa hilo!
nipo hivi hivi siku zote kaka
Eiyer bwana mpaka uje upate mke wakuoa utakwenda tuition nyingi sana haahahahahahaSasa unaonekana kukua kidogo
Sisemi haya kwakuwa umesema
Kwasababu najua kuna utofauti kati ya kusema na kutenda
Ila kwakuwa nimeona umuhimu wako wa kuyaona haya kuwa ya muhimu na kuyaleta hapa
Kutenda jambo lolote huanzia pale mtu anapoliona jambo hilo kuwa la muhimu
Hivyo hata kama huyatendi haya lakini kitendo cha kuyaona kuwa yanamfaa mwanamke ni hatua muhimu
Kamaumeanza kuyatenda unastahili kujipongeza kwa hilo!
Sijakuelewa
Hivihivi kama zamani bila kubaddilika?
Au hivihivi kwa maana ya ujumbe unavysema?
Au hivihivi kwa maana ya hivihivi?
hivi hivi kwa maana ya hivi hivi