Single fathers: Wanaume mje msome

Nitakuja nikuelekeze jambo sikumoja, bilashaka utaweza kunielewa vyema mwali.
Kwakifupi kuwa single parent, haimaanishi kwamba mhusika alijeruhiwa.
 
Ma single father hamubebeki wallah, machungu ya wenzi wenu mnahamishia kwa wasio na hatia na kwanini mna force tuwapende wanenu kah!!
Ukimkuta single baba anae lazimisha umpende mwanae, basi ujue huyo ipo shinda.....
Kumpenda mtoto wa single parent ni kitu kingine, na kumpenda single parent ni jambo lingine.
 
Ukweli mtupu hongera sana, ati mke wangu hasa angekuwa yule mama naninihii ,
alimwachaje wenzake wakachukua? Mwenye akili atakuelewa furaha haizidi hata miaka kumi anaanza kujutia
 
Kwanza kwanini mwanaume anakataa mtoto wake?Jibu anakataa kwasbabu wanawake wngi wamekuwa malaya.Hii ni ngumu kumeza lakini muimeze hivo hivo.Mwanaume anayekuamini atakataa mtoto sababu from beginning yeye ni mpumbavu tu sema hukujua hilo mapema ukampa uchi wako..

Hapa sijasema mimi naweza kataa mtoto hapana siwezi kukataa mtoto wangu sababu kama kuna kitu sipendi ni kukutana na mwanamke na mtoto kiume wanakula nae chips mayai na sayona bar.Nadhani hii ni sababu kubwa siwezi kukataa damu yangu.

ni kweli wanaume waliozalishwa hovyo uwaga wanaandamwa na mabalaa mengi sababu kuleta mtoto dunia ni tendo takatifu na linapaswa lichukuliwe hivyo hivyo na wla sio tendo la bahati mbaya..

Ila kitu kimoja nilichojifunza ni kwamba wanawake wanne wanazalishwa na mwanaume mmoja na kutelekezwa.Mwanaume mtelekezaji anakuwa mmoja na wanawake wanakuwa wengi na wengine wanaendelea kumfuata..
 
Nakutunuku Phd ya heshima kwa bandiko lako hili
 
ya kwel haya?
 
Mi ni double father vipi tuyajenge mpenzi.
 
Nadhani hata single mother highway ya kwenda kwenye moyo wake ni kupitia mwanae hata sisi wanaume ni hivyo hivyo. Waswahili wana msemo "ukipenda boga penda na ua lake'. Ukimpenda mwanangu nami ntakupenda ,ni rahisi tu.
 
uzi wa matunda kimasihara mbona umenipotea naombeni direct link
 
Nitakuja nikuelekeze jambo sikumoja, bilashaka utaweza kunielewa vyema mwali.
Kwakifupi kuwa single parent, haimaanishi kwamba mhusika alijeruhiwa.
Majority of them wako hvo ukiwa nao you can't enjoy it, mbaya zaidi Wana force Mambo ya watoto wao kwa Mama mwingine iwe lazima nakusahau kuhusu jukumu la huyo mama mwingine yeye kula Raha tu wewe una pewa mzigo wake. Ni shida Sana hii kitu
 
Ukimkuta single baba anae lazimisha umpende mwanae, basi ujue huyo ipo shinda.....
Kumpenda mtoto wa single parent ni kitu kingine, na kumpenda single parent ni jambo lingine.
Yani badala mu enjoy life yeye anaingiza watoto Mara ex wife in short hayo mahusiano huwa ni kero Bora mzazi wake mmoja awe amekufa
 
Nitakuja nikuelekeze jambo sikumoja, bilashaka utaweza kunielewa vyema mwali.
Kwakifupi kuwa single parent, haimaanishi kwamba mhusika alijeruhiwa.
Kama hakujeruhiwa basi alijeruhi....huwezi kukosa kwenye makundi hayo mawili. Never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…