Single fathers: Wanaume mje msome

Nasubiria summary nimeishia njiani
 
Kiukweli sijamaliza kusoma uzi wako ,kafanye revision ya kufupisha habar
 
Dah! Kwa andiko lako hili, hakika umetukomesha Masingofaza. Mimi nimeishia robo tu kusoma.
 
Daah mimi sijaelewa kabisa!! Mpangilio haujakaa poa
 
Single father hswapendeki na ukiwa nayo mda wote ana machungu ya mahusiano yake,mda wote anawaza watoto hana mda na wewe kabisa mbaya zaidi single mother and single father's wako kila corner inshort ni kero kuishi na mtu aliyejeruhiwa kwenye mahusiano na vile wanaume huwa hawasahau, Mungu aniepushie hili pepo chafu la single father
 
umeongea la msingi ila wengi watapuuza. comments zinajieleza.
 
Umeandika kama unalia. Sijawahi kuona uandishi mbovu kama huu!
 
Umeongea kitu cha maana ila huo muandiko wako sawa

Utazani kuku kishingo kaparua parua mahali
 
gwajiboy A.K.A Rashidi, analijua hili!
 


we upo kundi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…