P ktk hoja yko nakuunga mkono %1 mama Ws kambo mmmmmh acha tu Mara mia akalelewa na mtu hata asiyey mjua ....pamoja si mama wakambo wote wanao wachukia watoto wasio wao ila asilimia 90% sisi wanawake hatuwapendi watoto wa waume zetu huo ndiyo ukwel

Mm dogo isha nizoea mno
Weekends mama yake akija kumchukua ananuna lkn lzm aende sababu Mahakama iliamua!
Baba wa kambo isha muonya pia anamzoe sana dogo
Ubinafsi mbaya sana. Hivi watu hadi mshiriki kulea mkiwa mbalimbali, inamaana hapo lazima kuna mawasiliano mubashara!
La kupenda sijui kutamani hadi kumla mwenzako mmeliweza, la kubebeshana mimba mmeliweza pia.
Ila la kulea mkiwa pa1, hapana!
Kulea mkiwa mbalimbali hufanya mtoto awe na mapenzi ya upande mmoja, aidha ubabani au umamani.
Umeweza kuzaa na mwenziyo, halafu wewe ni "single" kwanini msiende hatua mbele zaidi ya kimaamuzi ili mkaoana kabisa mkalea vizuri?
Tatizo visingizio visivyo mashiko. Ubinafsi.