Hawatoi povu km singular mama..! Kupenda miteremko ndiyo kupiga mayowe.Big up kwa single fathers wote!!!
Ila mtoto anakua vizuri akipata malezi ya mama (ata kama ni wa kambo) na baba!!! Oeni basiiiii!
Wewe upo jamani!!!! Nimekumisi!!!Hawatoi povu km singular mama..! Kupenda miteremko ndiyo kupiga mayowe.
Nipo nilikuwa nimeenda mauritius, nimerudi..! Sasa tunaweza endelea tulipoishia na zamu ya yule kusubiri sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe upo jamani!!!! Nimekumisi!!!
Ww ni single father?Hata mi kwangu yanaenda vizurii tu
[emoji23][emoji23][emoji23] nakuja fuata zawadi zangu!!! Si upo kule kule au umehama?Nipo nilikuwa nimeenda mauritius, nimerudi..! Sasa tunaweza endelea tulipoishia na zamu ya yule kusubiri sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
wewe ni le super single fatherDuh mimi sasa sijui nijiiteje maana ni single father kwa wanawake wanne....
Aiseeeew,[emoji121]
MKUU,
WEWE NI GREAT GREAT GRAND SINGLE FATHER.
Nipo nikihama utajua tuu. Umeisha rudi kutoka gesini??[emoji23][emoji23][emoji23] nakuja fuata zawadi zangu!!! Si upo kule kule au umehama?
Sasa kama anazingua utalazimisha? Wengi tumekuwa single fathers kwa sababu ya majanga mbalimbali kutoka kwa wanawake, kiasi kwamba hutamani tena kuwa na mwanamke.Mkomeeee. Hao mlowazalisha wamekufa. Mkomeee.
Hata mi kwangu yanaenda vizurii tu
Gesini????Nipo nikihama utajua tuu. Umeisha rudi kutoka gesini??
Last you told me uko ntwara..!Gesini????
Mambo ua PM hayo bana!!!Last you told me uko ntwara..!
Its a challnge lkn mambo yanaenda vzr sn upande wangu
Nakaa nae mwnywMtoto unakaa nae au maza wake mweh 🙂
Single fatherUko single father, single mother, both.
NdioWw ni single father?