queen of the jungle
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 228
- 429
Leo nimetulia nimeona tufanye get together itakayo waunganisha waliosingle wote party itakuwa tarehe 22/4/2017 na umri kuanzia miaka 25 kwenda juu tukutane tufahamiane na tuwe na chama chetu cha kufarijiana na pale mwanachama anapokiaga chama tutashiriki sherehe yake na kumfurahia.
Karibuni jamani!
Karibuni jamani!