Singida: Mkulima akatwa vidole na wafugaji

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,152
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amekasirishwa na kitendo cha wafugaji Wilaya ya Iramba mkoani Singida kuijeruhi vibaya kwa panga familia ya watu wawili wanaofanya shughuli za
kilimo Wilayani humo.

Amebaini hayo kwenye ziara zake za kusikiliza na kutatua changamoto za wafugaji na wavuvi nchini ambapo mmoja wa wakulima wa Wilaya hiyo Bw. Mkoma Mustapha alielezea namna wafugaji walivyomshambulia yeye na mtoto wa kaka yake, ambapo Dkt. Bashiru ameielekeza Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Iramba igharamie matibabu yote ya Mkulima hiyo ikiwa ni pamoja na kurejesha gharama alizotumia mpaka sasa.
Your browser is not able to display this video.
 
Mtu ana miliki mifugo zaidi ya 50 kuwalisha mtihani

ova
 
WAPO WANAOM4LIKI MIFUGO MPAKA 1000 NA ZAIDI HATA ENEO LA EKARI MOJA SHDA KUMILIKI
 
Hivyo tu? Ametatua changamoto ama amefunika kombe mwana apite?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…