Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Watu watano wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha gari ndogo, ya Wizara ya Kilimo na Chakula na lori iliyotokea eneo la Njirii Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida.
Taarifa za awali zinadai kwamba gari dogo lilikuwa limebeba wataam wanne pamoja na dereva, wote wamefariki papo hapo ambapo wanaume walikuwa watatu na wanawake wawili.
Akithibithisha kutokea kwa ajali hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa, Sweetbert Njewike amesema kwamba miili imehifadhiwa ktk Hosptal ya Wilaya Manyoni.
Chanzo: Azam tv
TANZIA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anapenda kuwataarifu ya kuwa Wizara ya Kilimo imepatwa na msiba wa Watumishi wake Watano (5) waliopata ajali leo asubuhi tarehe 21 Oktoba, 2018 Manyoni mkoani Singida, walipokuwa safarini kuelekea Mwanza kikazi. Watumishi hao waliofariki ni;
1. Stella Joram Ossano (39)
2. Esta Tadayo Mutatembwa (36)
3. Abdallah Selemani Mushumbusi (53)
4. Charles Josephat Somi
5. Erasto Mhina (43)
Miili ya marehemu ipo njiani kuja Hospitali ya Mkoa wa Dodoma leo tarehe 21 Oktoba 2018.
Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi, Amina