Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,026
- 1,624
Kwa bei ya Tzs 2861 hi ni km Tzs 858,300 ht milioni haifiki...Tunaacha wezi wa mabilioni tuna hangaika na wizi wa vijisenti..SINGIDA: Mwamba akutwa na Diesel lita 300 za wizi, ameiba kwenye magari makubwa
Emmanuel Juma (29) Mkazi wa Wilaya ya Ikungi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida kwa tuhuma za wizi wa Mafuta ya Diesel katika magari makubwa yanayopita Ikungi kisha kwenda kuuza kwa bei nafuu mtaani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amesema mtuhumiwa alikamatwa Aprili 9, 2022 na mafuta Lita 300 ambazo alikuwa amezihifadhi katika madumu ya Lita 20.
Wamwachie Mnyampaa anasaka tongeSINGIDA: Mwamba akutwa na Diesel lita 300 za wizi, ameiba kwenye magari makubwa
Emmanuel Juma (29) Mkazi wa Wilaya ya Ikungi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida kwa tuhuma za wizi wa Mafuta ya Diesel katika magari makubwa yanayopita Ikungi kisha kwenda kuuza kwa bei nafuu mtaani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amesema mtuhumiwa alikamatwa Aprili 9, 2022 na mafuta Lita 300 ambazo alikuwa amezihifadhi katika madumu ya Lita 20.
SINGIDA: Mwamba akutwa na Diesel lita 300 za wizi, ameiba kwenye magari makubwa
Emmanuel Juma (29) Mkazi wa Wilaya ya Ikungi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida kwa tuhuma za wizi wa Mafuta ya Diesel katika magari makubwa yanayopita Ikungi kisha kwenda kuuza kwa bei nafuu mtaani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amesema mtuhumiwa alikamatwa Aprili 9, 2022 na mafuta Lita 300 ambazo alikuwa amezihifadhi katika madumu ya Lita 20.
Pia fisadi hafungwi upigwa faini mbuzi kibaka ufungwa sababu hana pesa za kumuhonga hakimuKibaka ndiyo anatangazwa ila makonki hawatangazwi
sio kibaka huyo, kanunua kwa madereva hawasemi ukweli tu. Kosa hapo ni kibali basi.Kibaka ndiyo anatangazwa ila makonki hawatangazwi