SINGIDA: Akutwa na Diesel lita 300 za kuiba kwenye magari makubwa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,021
1,609
Mwamba akutwa na Diesel lita 300 za wizi, ameiba kwenye magari makubwa

Emmanuel Juma (29) Mkazi wa Wilaya ya Ikungi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida kwa tuhuma za wizi wa Mafuta ya Diesel katika magari makubwa yanayopita Ikungi kisha kwenda kuuza kwa bei nafuu mtaani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amesema mtuhumiwa alikamatwa Aprili 9, 2022 na mafuta Lita 300 ambazo alikuwa amezihifadhi katika madumu ya Lita 20.
 
SINGIDA: Mwamba akutwa na Diesel lita 300 za wizi, ameiba kwenye magari makubwa

Kwa bei ya Tzs 2861 hi ni km Tzs 858,300 ht milioni haifiki...Tunaacha wezi wa mabilioni tuna hangaika na wizi wa vijisenti..
 
SINGIDA: Mwamba akutwa na Diesel lita 300 za wizi, ameiba kwenye magari makubwa

Emmanuel Juma (29) Mkazi wa Wilaya ya Ikungi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida kwa tuhuma za wizi wa Mafuta ya Diesel katika magari makubwa yanayopita Ikungi kisha kwenda kuuza kwa bei nafuu mtaani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amesema mtuhumiwa alikamatwa Aprili 9, 2022 na mafuta Lita 300 ambazo alikuwa amezihifadhi katika madumu ya Lita 20.
Wamwachie Mnyampaa anasaka tonge
 
Attachments

  • Aiseee! _cry_ https___t.co_xyn4f47SwO ( SQ ).mp4
    1.1 MB
Utashangaa anapewa kesi ya uhujumu anafugwa kifungo kirefu ila bongo bhna mwanaharakati anafungwa fisadi anafugwa na kulelewa.
 
Police ukikamatwa na magunia ya bange hayapelekwi mahakamani kama ushahidi
 
Kaibaje sasa si madereva wanapiga nyoka kila mtu anajua. Yaani gari iwe inapita hafu uibe wese.
 
Back
Top Bottom