Singasinga wa IPTL, Harbinder Singh Sethi atoweka

udhaifu wa vyombo vya ulinzi
 
Mtaacha lini kulalamika?
_chukua hatua sasa!!
 

Hata ikulu ifanye nini EU hawatoi fedha zao bila kuona hata zimechukuliwa kwenye kashfa hii. Mbaya zaidi wao wana data nyingi zaidi khs escrow kuliko unavyoweza kuamini.
 
Ccm wana mbinu nyingi sana kukwepesha ukweli bilqkujua watz waleo cio wapumbavu kiasi hicho kwahiyo mimi nina chokiona mbele yetu ccm wata kifanya kama walicho kifanya wakoloni walijichimbia kaburi lao wenyewe
 
udhaifu wa vyombo vya ulinzi

mwene kutoa maamuzi si office ya mkuu wa nnchi? kwani imeamuru mtu akamatwe? sidhani kama vyombo vya ulinzi vinahusika tayari...labda kama serikali ingetoa agizo pending waiting for the decision
 
ndugu zangu dunia kijiji endapo atakapo hitajika kukamatwa atakamatwa tu wala msijenge hoja za ajabuajabu za kutuhumu viongozi na serikali
 
Ata yule aliyetorosha Twiga wanne kwenda Qatar c amehukumiwa juzi hapa lakini wamehukumu hewa a.k.a kivuli cha mtuhumiwa, jamaa alishatoroshwa kitambo eti mahakama inaagiza atafutwe aje kutumikia adhabu yake mmmmh hii nchi kwa kweli duh! Hii ni too much sasa
 
Ni ujinga kusema ametoweka kwa kutoroka unless km ameiweka serikali yetu mfukoni, mipaka yote inalindwa na vyombo vya dola, kwa maajabu ya nchi yetu unaweza kukuta aliondoka na ndege ya serikali...Tanzania hii ukipata mwanya wa kuiba we fanya hivyo maana hakuna mwenye uchungu na nchi wa mali za umma. Singa Singa ni mjanja na ataendelea kuwa hivyo, tumia fursa
 
Mikakati ya chama tawala kulinda wahujumu uchumi itaendelea hadi lini.ni wakati mwafaka kwa watanzania kupiga kura za busara na hekima za hasira kuiondoa ccm madarakani.kikundi kidogo cha mafisadi kimeachiwa kuyumbisha nchi.ukistaajabu ya gaddafi utaona ya ccm
 
Kuna kitabu cha matukio ya aibu kinaandaliwa kwa kumbukumbu
 
Harbinder Singh ni mfanya biashara hawezi kuvunja safari zake alizokwisha panga nje ya nchi bila sababu ya maana, kwasasa yupo huru wapi umeiona Arrest Warrant ya kumkamata. Maagizo unayosema ya bunge hao viongozi waliotajwa kwa majina.
,wamesimamishwa kazi? wamefanywa nini? Raisi amesema suala hili bado linachunguzwa Wakati watuhumiwa wanaendelea kuwa kazini. Hii imetoka tusahau huu uchunguzi hauna mwisho.
 
Ametoweka na Mitambo ya IPTL?

Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
 

Chini ya uongozi wa ccm yoote haya yanawezekana.
 

Sometimes hatupendi ukweli mchungu kama huu ........... tuupende tu ili tutie akili .........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…