Karibuni katika channel ya uimbaji muziki hapa tutashirikiana kupeana nyimbo nzuri kutoka kwa makundi,ideas mbinu za kukuza uimbaji na muziki wa kikristo/injili/choirs/groups n.k ni imani yetu kuwa forum hii itasaidia kukuza uimbaji
SINGING YOUR HEART OUT!
Sent using
Jamii Forums mobile app