SInema za nyingi za James Bond ziliandikwa na Ian Fleming akiwa anaishi Jamaica, SInema hizo zilidumu kwa zaidi ya miaka 60 ila mimi niliependa ,sana ile ya Man with a Golden Gun, ingawa sinema zake zote zilikuwa zinazisismua sana. Alikuwa ajitambulisha kuwa "my name is Bond", ..... "James Bond." Uliziangalia simea za Bond? Na ni ipi uliyopenda zaidi?