Sinema ya DA CHEMI na FISHBOURNE hii hapa

Hivi mzee unatumiaga Torrents?

la hasha..niko part 3 na bado sijamwona huyo CHEMI aliyedai kwenye blog yake kuwa alikuwa extra kwenye hii movie kama bar maid..nimetazama scened mbili za Boston na kule Vegas sijamwona..lakini kwa sababu bado sijamaliza kuitazama basi nitakufahamisha yuko kwenye scene gani
 

Ngoja nianze kuiangalia....lol lakini sijui huyo Da Chemi anafananaje....
 
Part ya mwisho ya hii movie inakosekana.....niliidharau baada ya kusoma reviews zake especially za Rotten Tomatoes...ila nimejikuta nimeiangalia hadi hapo ilipokatikia...na mimi vile vile sijamuona.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…