OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,075
- 114,602
Ndugu mwanasoka ni vyema tukakubaliana kijana huyu anachokipaji cha kusakata kabumbu na kama akilelewa vyema anaweza kutuwakilisha kama nchi katika nyanja za kataifa
Sote tulishuhudia katika mzunguko wa kwanza wa VPL akifunga Goli ambalo liliacha watui wakiwa hawaamini kilichotokea.
Lakini kijana huyu Hugo amerudia vitu vyake adimu na adhimu,kwa kuambaambaa na mpira na kumpima kipa Deo Munishi umbali wa mita kama 20 hivi na kumtungua Goli ambalo wachambuzi wamekiri kamba hili Goli sio la nchi hii.
Kwa maana magoli nadra kama haya hufangwa na watoto wenye vipaji na mafunzo. Sinema imeambatanishwa ikilinganisha Goli la Chiza Kichuya na mchezaji mahiri wa Ulaya Roben wa Buyern Munich akiifunga Asernal