Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Chtcht members nawapenda sana mjue?.
Kwa mintarafu hiyo iweje nipate mamistari ama maneno matamu somewhere, kisha niache ku'share nanyi ?
Haiyumkiniki !
Imezoeleka sana hapa Jf members kadhaa hushea nasi lyrics za ma'artists wa ughaibuni.
Leo mie nije tofauti, kwa kushea nanyi mistari toka kwa artist wa hanohano!
Nimemjua msanii huyu kwa jina moja tu, anaitwa Sunura.
Nna imani mtaniunga mkono kua ni kweli msanii huyu ana uwezo, na message zake ni tamu.
Hebu peruzi mistari hii ;
> Kupigwa nipigwe mie!
Kuumia niumie mie!
Polisi awahi yeye!.
> Nyumba niejenge mie!
Kwa jasho langu mwenyewe!
Nje anilaze yeye!
> Mtoto nimzae mie!
Kulea nilee mwenyewe!
Matusi anitukane yeye!
> Mke nimuoe mie! Mahari nilipe mwenyewe!
Vya ndani avile yeye!
> Gari ninunue mie! Kwa pesa zangu mwenyewe!
Mafuta nitie mie! Misele apige yeye!
> Kufiwa nifiwe mie!
Kilio nilie mwenyewe!
Pole akapewe yeye!.
To be successfuly, a social marketin campaign has to reach pipo with a message, that will help them to change their behavior.
If the message isn't understandable, if it doesn't reach its audience.
it scares or offends them too much .