Sina uhakika

Bei ya pampas moja 500 bunda dogo lile 4000 Tsh bunda kubwa lile nahs now linafika 15000Tsh sjui kitu kama hicho
Bado maziwa Formula One kopo linafika 35K na mtoto anafyeka 4 kwa wiki 2😁
 
Uko salama kabisa, mzee. Msemo "What goes up must come down", ulitokana na situation kama yako.
 
Kwa kuwa ulikuwa chini unahisi hazijaenda kwenye ovari yake, zikamwagika kwa pembeni tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…