Wanajf,tatizo langu ni kwamba nashindwa kutongoza,nina miaka 25 mpaka leo nimewachapa madem wawili tu,na toka tuachane na wa mwisho wapata mwaka mmoja na nusu,sasa sielewi kuwa swaga zangu finyu au kitu gani mana hata akinukubalia nitakosa kuchapa,pia naomba mnisaidie njia ya kuimuingilia demu kwa siku ya kwanza unaetaka kumtongoza kwani nahisi hapo ndo navuruga kabisa.nawasikiza!