Sina Mgogoro na CHADEMA


Hili nalo neno Tumaini Makene.
 
Pasco unaweza kuja hapa na kunijuza ni kwanini huyu bwana hataki kufuata ushauri wako uliompa hapo juzi?

Hivi ni kwanini ktk siku za hivi karibuni amekuwa na matamko mbalimbali kupitia JF akikihusisha Chadema na vijimambo vyake anavyoviandika kila uchao humu ndani? Kubwa ni kujaribu kuwaaminisha watu hapa ndani kwamba yeye bado ni mwanachama wa Chadema na kwamba anamapenzi makubwa na chama hicho?

Kuna ninu kiko nyuma ya Pazia juu ya haya matamko yake kwa chama? Tukumbuke huyu anajamaa mwenzake anaitwa Deus nani sijui...? Aliwahi kuja hapa jamvini na kuanzisha uzi unaosema "WAKATI WA MIMI KUSEMA UMEFIKA"....

Sasa mkuu Pasco naamni kwa namna flani ni fundi wa kusoma Saikolojia za watu unaweza kuniambia lolote juu ya haya yanayopangiliwa na hawa watu dhidi ya Chadema??

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Yaani hata hujafukuzwa walijua we ni mwehe sasa wakufukuze nini mpaka unaanza kupiga kelele wakusikie,huna kipya acha kelele zako
 
mwenzako machange alijipendekeza CCM baada ya kujichangan ya kwenye ishu ya mwangosi CCM wakamwambia chizi wewe kaa pembeni

naona unapoelekea na wewe kibarua kitaota nyasi maana CCM hawafanyi kazi na vichaa au watu wenye upungu wa akili maana ueleweki sana nachokiona kwako ni kama mtu aliye[poteza uelekeo wa maisha
 
LUDOVICK..Speak sense sometimes jamani...!!otherwise ur drunk,go and sleep.!!
 
Hivi ni kwanini unafanya wahaya wote tunaonekana wapumbafu na wasaliti...?sio hulka yetu mkuu ludo.
 
Jiulize kwanini mahasimu wa Chadema humu ndani wanasapoti sana uandikayo hapa?

Jiulize kwanini mpaka sasa hivi hawajaja kukusapoti?(najua wanaiona thread).

Majibu ni kwamba hata wao wameanza kukuchoka sasa.


Swali LA Mwisho: Kwanini kila uandikacho na usemacho wana CHADEMA wanaki-Crush?

Mwalimu umeshauriwa sana humu ndani na wengi wenye mapenzi mema, fuata ushauri, Lay low for a while.
 
Ikiwa ni kweli unawasiliana na wakubwa wako hapo makao makui kila siku kwanini usiwaambie huo unaouita ushauri? Lakini ndugu yangu yote uliyofanya kuhujumu Chadema na unayoyafanya sasa bado unasema unaipenda Chadema? Come on Ludo unatuona wooote wajinga ila wewe tu ndio kichwa??? Kuna jamaangu alinambia Wahaya hujiona wao wanajua kuliko wengine na wengine wote wajinga tu, lakini nimegundua sio wote bali wachache style ya Ludo wamo. Ulipata ajali kwenye gari la uenezi la ACT ukiwa kwenye harakati na wenzako wa ACT, unaenezaje chama usichokuwa mwanachama? Kama ni mwanachama mbona hutoi ushauri huko bali chama ulichotoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…