HelloWanabodi kheri ya mwaka Mpya 2017!!!!! Napenda kuwatangazia kuwa mwaka huu mungu akinijalia nitatoka katika maisha ya useja na kuanza maisha ya ndoa ila Sina mchumba hivyo naleta tangazo langu kwenu kuwa natafuta mchumba wa kike.
Sifa zangu
a/ Mrefu
b/ Maji ya kunde
c/ 32 years hold
d/ Mwajiriwa & mjasiriamali
e/ Elimu M.A
f/ Christian
g/ Sina Mtoto
Sifa za msichana
- Asiwe mfupi
- Asiwe Bonge
- Asiwe na Mtoto
-Asiwe goalkeeper
-Awe Christian
- Elimu : Bachelor holder & above
- Umri 25-31
Kama kuna msichana ambaye yupo siriasi na anautayari wa kuolewa njoo PM kwa further conversion
Nawatakia sikukuu njema na mungu awabariki sana
Kama kuna msomi kama wewe hujui tofauti ya old na hold basi,HESLB walipoteza pesa zao bure halikdhalika wazazi/walezi wako.Wanabodi kheri ya mwaka Mpya 2017!!!!! Napenda kuwatangazia kuwa mwaka huu mungu akinijalia nitatoka katika maisha ya useja na kuanza maisha ya ndoa ila Sina mchumba hivyo naleta tangazo langu kwenu kuwa natafuta mchumba wa kike.
Sifa zangu
a/ Mrefu
b/ Maji ya kunde
c/ 32 years hold
d/ Mwajiriwa & mjasiriamali
e/ Elimu M.A
f/ Christian
g/ Sina Mtoto
Sifa za msichana
- Asiwe mfupi
- Asiwe Bonge
- Asiwe na Mtoto
-Asiwe goalkeeper
-Awe Christian
- Elimu : Bachelor holder & above
- Umri 25-31
Kama kuna msichana ambaye yupo siriasi na anautayari wa kuolewa njoo PM kwa further conversion
Nawatakia sikukuu njema na mungu awabariki sana
Ana mapengo,hawezi weka.Photo please!!
On behalf of myself and the people infact members of Jf namuombea msamaha huyu jamaaKama kuna msomi kama wewe hujui tofauti ya old na hold basi,HESLB walipoteza pesa zao bure halikdhalika wazazi/walezi wako.
Bora ungeandika kwa kilugha chako!!
Elimu za hapa na pale hizi!
Kwi kwiiiAna mapengo,hawezi weka.
Pia 'conversion' na 'conversation' M.A holder huyo!!Kama kuna msomi kama wewe hujui tofauti ya old na hold basi,HESLB walipoteza pesa zao bure halikdhalika wazazi/walezi wako.
Bora ungeandika kwa kilugha chako!!
Elimu za hapa na pale hizi!
NaloliiiMbombo ngafu
On behalf of myself and the people infact members of Jf namuombea msamaha huyu jamaa
teh...mbombo nki kangi?Mbombo ngafu
Elimu na kuoa kuna uhusiano gani? Unataka mke mwenye bachelor holder kwani nyumbani kwako kuna ofisi unayoenda kumwajiri humo?? Halafu elimu yako mhhh.....further conversion???.....32 years hold???Wanabodi kheri ya mwaka Mpya 2017!!!!! Napenda kuwatangazia kuwa mwaka huu mungu akinijalia nitatoka katika maisha ya useja na kuanza maisha ya ndoa ila Sina mchumba hivyo naleta tangazo langu kwenu kuwa natafuta mchumba wa kike.
Sifa zangu
a/ Mrefu
b/ Maji ya kunde
c/ 32 years hold
d/ Mwajiriwa & mjasiriamali
e/ Elimu M.A
f/ Christian
g/ Sina Mtoto
Sifa za msichana
- Asiwe mfupi
- Asiwe Bonge
- Asiwe na Mtoto
-Asiwe goalkeeper
-Awe Christian
- Elimu : Bachelor holder & above
- Umri 25-31
Kama kuna msichana ambaye yupo siriasi na anautayari wa kuolewa njoo PM kwa further conversion
Nawatakia sikukuu njema na mungu awabariki sana