mama beauty
Member
- Aug 30, 2014
- 22
- 4
wanaume wote wamezaliwa na baba na mama mmoja,hawana tofauti hata kidogo,so have courage,samehe uolewe kama unahisi japo ana qualities unazozitaka....jiandae mdogo wangu kwny ndoa ndo balaa,utaacha mara1000 usipokua makini,ni shiiiiiiiiiiiider