cenzo Senior Member Joined May 7, 2015 Posts 124 Reaction score 28 Jul 13, 2015 #1 Sina maana mbaya kwa kuweka hii picha ya mtoto wa mkulima ila huwa napendaga sana mapozi yake au swaga zake yeye na wasila Attachments 1436770940660.jpg 77.1 KB · Views: 509
Sina maana mbaya kwa kuweka hii picha ya mtoto wa mkulima ila huwa napendaga sana mapozi yake au swaga zake yeye na wasila
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,046 Jul 13, 2015 #2 Alisema atagombea kimya kimya na kaondolewa kimya kimya. EL aligombea kwa makelele mengi na kaondolewa kwa kelele nyingi. Wametoka kama walivyoingia!
Alisema atagombea kimya kimya na kaondolewa kimya kimya. EL aligombea kwa makelele mengi na kaondolewa kwa kelele nyingi. Wametoka kama walivyoingia!
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 6,130 Reaction score 6,409 Jul 13, 2015 #3 Mda si mrefu tutawasahau,,