Sina knowledge nzuri kwenye pc/computer devices msaada wenu

bernard10

JF-Expert Member
Apr 2, 2021
410
731
Ndgu zangu habar zenu,

Mimi Ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza nna laki5 ninataka kununua PC, lakini sna knowledge nazo Sana najua wengi humu mnaweza kunisaidia.

1.brand gani itafaa Zaid (with better software, storage , lifespan, etc.)
2.Kwa bajeti yang naweza nkapata PC yenye

A.had drive capacity (speed) gani?
B.RAM & Software
C.Operating system etc
3.Iwe HDD au SDD na kwann?

Mwenye knowledge anaweza akanishauri ntashukuru Sana asanteni.
 
Ungesema unasomea nn, kwanza
Kama ni kufungulia pdf na presentation, PC yoyote yafaaa.

Ila kama ni programming, Ongeza ongeza pesa upate PC yenye nguvu
 
3.Iwe HDD au SDD na kwann?
Kwa hiyo bajeti, Utapata pc yenye HDD
C.Operating system etc
Wakuwekee Win 10.
B.RAM & Software
Angalau 8GB
A.had drive capacity (speed) gani?
Kwa bajeti yako utapata ya 500GB
1.brand gani itafaa Zaid
Dell, HP - zina sifa moja ya kuvumilia shida.
2.Kwa bajeti yang naweza nkapata PC yenye
Ndio utapata USED.
 
Ungesema unasomea nn, kwanza
Kama ni kufungulia pdf na presentation, PC yoyote yafaaa.

Ila kama ni programming, Ongeza ongeza pesa upate PC yenye nguvu
Sawa brother minimum inaweza ikawa kiasi gani manake uchumi wenywe ungaunga
 
Ni vizur ukasema pc hiyo unayotaka kununua niya nini ili iwe rahisi kukushauli
Kwasasa n kwaajir ya masomo chuon n.k but natak iwe for long term plan namaanisha staki kununua Tena hko mbeleni ije inisaidie kwa vitu vingne
 
Kwa hiyo bajeti, Utapata pc yenye HDD

Wakuwekee Win 10.

Angalau 8GB

Kwa bajeti yako utapata ya 500GB

Dell, HP - zina sifa moja ya kuvumilia shida.

Ndio utapata USED.
But Kuna mtu kaniambia nisianze na window 10 nianze chini dhen ntapanda later on...
 
Ndgu zangu habar zenu,

Mimi Ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza nna laki5 ninataka kununua PC, lakini sna knowledge nazo Sana najua wengi humu mnaweza kunisaidia.

1.brand gani itafaa Zaid (with better software, storage , lifespan, etc.)
2.Kwa bajeti yang naweza nkapata PC yenye

A.had drive capacity (speed) gani?
B.RAM & Software
C.Operating system etc
3.Iwe HDD au SDD na kwann?

Mwenye knowledge anaweza akanishauri ntashukuru Sana asanteni.

Chukua desktop used, vizuri zaidi ukipata brand kama dell , model ya optiplex ya miaka ya hivi karibuni yoyote kama vile 3020, iwe full tower au small form factor. Usichukue model za zamani

Processor core i5
RAM utapata 4GB ambayo sio mbaya.
Hard disk 500GB

download (1).jpeg

download.jpeg
 
Andaa kama 600k hivi kisha mcheki huyu mshkaji, ana mali kal sanaa hadi kwa sisi wa uchumi wa kati, ila tu yupo A town
Screenshot_20220317-053742.jpg
 
Ndgu zangu habar zenu,

Mimi Ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza nna laki5 ninataka kununua PC, lakini sna knowledge nazo Sana najua wengi humu mnaweza kunisaidia.

1.brand gani itafaa Zaid (with better software, storage , lifespan, etc.)
2.Kwa bajeti yang naweza nkapata PC yenye

A.had drive capacity (speed) gani?
B.RAM & Software
C.Operating system etc
3.Iwe HDD au SDD na kwann?

Mwenye knowledge anaweza akanishauri ntashukuru Sana asanteni.
Laki 5 pc nyingi Sana
Vijana wengi wanapenda Lenovo

RAM 4GB
Processor above 2.6
HDD 500 unatisha
Betry capacity 3hrs
 
Kwa hiyo bajeti, Utapata pc yenye HDD

Wakuwekee Win 10.

Angalau 8GB

Kwa bajeti yako utapata ya 500GB

Dell, HP - zina sifa moja ya kuvumilia shida.

Ndio utapata USED.
Nadhani wataalamu wenyewe ndo hawa,Kama unahitaji la ziada labda kwa kina Chief Mkwawa,,,Ila nikishaiona comment ya huyu mwamba na Chief me napigia mstari....
 
Ndgu zangu habar zenu,

Mimi Ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza nna laki5 ninataka kununua PC, lakini sna knowledge nazo Sana najua wengi humu mnaweza kunisaidia.

1.brand gani itafaa Zaid (with better software, storage , lifespan, etc.)
2.Kwa bajeti yang naweza nkapata PC yenye

A.had drive capacity (speed) gani?
B.RAM & Software
C.Operating system etc
3.Iwe HDD au SDD na kwann?

Mwenye knowledge anaweza akanishauri ntashukuru Sana asanteni.
Kuna jembe moja humu ni hazina sana CHIEF MKWAWA
 
Back
Top Bottom