Sina kazi

shasil alonso

Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
27
Reaction score
1
nakushukur mungu kwa kunipa afya njema, natumaini uko poa!!mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22. Nina mwaka sasa tangu niishi bila ajira yeyote na sina pesa ya kuweza kujiajiri naomba unisaidie ili kupata kazi ili mradi niwe napata kipato cha kunisaidia.
 
kazi gani? unaweza ipi? Mi nafikiri kwa maelezo yako ni ngumu sana kupata ajira. inaelekea ni mvivu hata wa kujua na kueleza unataka nini. hakuna mtu mwenye uwezo wa kukusaidia mwenye muda wa kupoteza kuanza kukudodosa. ungeandika yote hapa. acha uvivu. be active.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…